Mapenzi yanaumiza sana

Mapenzi yanaumiza sana

Bado niko singali ujue.nimejaribu kuyawaza tu ujue.

Itabidi siku moja niingie love connect nikatafute mubebe[emoji2][emoji2]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli
 
Samehe ili uwe huru. Najua ni ngumu sana kusamehe ila ukidhamiria utafanikiwa na maumivu yataisha.

Hii principal ya kusamehe huwa iko tricky, binafsi nilisha accept situation, ila nimejikuta niko insensitive na issue za mapenzi.

Naweza kumwona mtu nikamwelewa, nikafanya harakati zote mpaka mahusiano yakawepo, ila nakuwa nayachukulia kama relationship ya kawaida, na muda wowote naachana na mtu halafu bila sababu ya msingi.
 
Muoneni huyu😆😆kwani nimesema yameniumiza...ndo mana ulifeli mtihani wa lanne
😂😂😂mbona unatumia nguvu kubwa kujisafisha...

Si useme asante tuu nimwite shemeji wako wa kienyeji muyajenge
 
Ifike mahali mtu ukiona mapenzi yanakusumbua wala hujawah kusettle kwenye mapenzi ni kuachana na mapenzi na kufanya mambo mengine...kuna mengi ya kufanya kwenye maisha sio mapenzi tu...
 
Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno.

Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂

Kipindi Mimi nakuambia kuhusu yule beki tatu wa safari lager ya kuwa niliumia alivyoondoka zake uliniona mimi Bata si ndivyo..?
Haya sasa naona jino limemtoka mwenye kujua maumivu! Kilichobaki sahivi ni kukusave ili usijinyonge dada yangu! Vumilia ndo maisha ya ubata hayo..🤣
 
Hii principal ya kusamehe huwa iko tricky, binafsi nilisha accept situation, ila nimejikuta niko insensitive na issue za mapenzi.

Naweza kumwona mtu nikamwelewa, nikafanya harakati zote mpaka mahusiano yakawepo, ila nakuwa nayachukulia kama relationship ya kawaida, na muda wowote naachana na mtu halafu bila sababu ya msingi.
Ni kweli, kusamehe ni ngumu sana. Kuna wakati unaamini kua umesamehe mara ghafla maumivu/hasira vinarudi up ya.
Wengine kusamehe wanaona kama ni kuhalalisha ubaya uliotendewa lakini amini nakuambia, kusamehe kunamuweka mtu huru sana. Hilo la kua unaachana na mtu bila sababu ya msingi ni kwa ajili ya kutosamehe # Forgive and Let go#
 
Back
Top Bottom