Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado niko singali ujue.nimejaribu kuyawaza tu ujue.
Itabidi siku moja niingie love connect nikatafute mubebe[emoji2][emoji2]
Hahaha maisha ndo haya haya just relax hun😄😄 ila Noelia umekaa kikauzu sana😄😄
Wachaaa
Ohoo kumbeee.hivi kumbe yesu yule mchezaji mpira hajawahi kukatiza na manzi ee[emoji2][emoji2]
Samehe ili uwe huru. Najua ni ngumu sana kusamehe ila ukidhamiria utafanikiwa na maumivu yataisha.
Huwezi tafakari Jambo ambalo halijakukutaAnko fog bhana..sina mtu JF !kwani kuna sehemu nimesema yananiumiza mimi..nimesema ni katika kutafakari tu[emoji2][emoji2]nyie watu
Sasa na wewe usiwe Sugu sana.loh
😂😂😂mbona unatumia nguvu kubwa kujisafisha...Muoneni huyu😆😆kwani nimesema yameniumiza...ndo mana ulifeli mtihani wa lanne
Weeeeeeeee usiniambie
AmeeeeeeenIfike mahali mtu ukiona mapenzi yanakusumbua wala hujawah kusettle kwenye mapenzi ni kuachana na mapenzi na kufanya mambo mengine...kuna mengi ya kufanya kwenye maisha sio mapenzi tu...
🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno.
Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
Ni kweli, kusamehe ni ngumu sana. Kuna wakati unaamini kua umesamehe mara ghafla maumivu/hasira vinarudi up ya.Hii principal ya kusamehe huwa iko tricky, binafsi nilisha accept situation, ila nimejikuta niko insensitive na issue za mapenzi.
Naweza kumwona mtu nikamwelewa, nikafanya harakati zote mpaka mahusiano yakawepo, ila nakuwa nayachukulia kama relationship ya kawaida, na muda wowote naachana na mtu halafu bila sababu ya msingi.