Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

Shtuka na acha kulia lia kwake kwa kuwa tayari ukweli ameshaujua kuwa unampenda sana. Ukiendelea na mwenendo huo atakuendesha mpaka ukome na kumuacha itakuwa ngumu. Hawa viumbe hawapendi wanaume wa kulia lia, be rude kiasi then fanya mambo yako ukijishusha sana kwake anakuona fala na ataona hustahili kuwa mwanaume wake.
Inaonesha kwenye mahusiano bado ujaiva ndio mgeni au nakosea?

Mim kuna mmoja nilikua nadate nae anachowaza yeye ni ndoa tu na kulazimisha mambo nikamuelekeza mambo huwa yanafata taratibu, likawa ni kosa kumueleza hivyo akaja juu oh tuachane na usinijue/usinitafute kuanzia leo futa na namba zangu uwe na maisha mema nikacheka sana alafu nikamjibu poa kila la kheri nikakata simu.
[emoji16][emoji16] asubuhi kesho yake akanitafuta analia nmsamehe amekosea nkamwambia hajakosea kuusikiliza moyo wake na kufanya maamuzi sahihi ishi kwenye uliyoyasema jana nikakata simu. Hawa baadhi ukikubali akuendeshe anavyotaka yeye utaisoma namba atakugeuza msukule.
 
Pitia huu uzi utajifunza kitu

Kwenye mahusiano vipo vya kuvumilia lakini sio haya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nkajua ni mimi tu hapa nshaomba msamaha kwa kosa ambalo hata sijui ni lipi sijasamehewa naambiwa ana mengi kichwani maisha haya jamani
Wengine tumeamua kuweka moyo wa chuma
 
Mbona vitu vingine vya ajabu unaumia kisa dem hakujibu sms eeh! inaonekana huna shughuli maalum yakukuingizia pesa
 
KWA KIFUPI TUU HUYO MWANAMKE HAKUTAKI ILA ANASHIDWA KUKUAMBIA

NA JINSI UNAVYOZIDI KUMSUMBUA AU KUMUONESHA KAMA UNAMPENDA NA YEYE NDIYE ANAZIDI KUJIWEKA MBALI NA WEWE MWISHO WA SIKU UNABAKI KUUMIA NA UKIZIDI KUMSUMBUA SANA IPO SIKU SIMU YAKO ITAPOKELEWA NA MWANAUME MWINGINE USHAULI WANGU KWAKO
 
Hiy
Mzee kila nkijaribu wapi, halafu ni kama ashajua kwamba nampenda ile kinoma yani ndo maana anafanya hivi,yani anajua kabisa anitafute asinitafute am very weak kwake lazima ntamsumbua wee ndo apokee niomgee naye,anajua kabisa siwezi lala bila kumwambia usiku mwema ila leo nakausha tuone,labda ntaanza kumsahau polepole
Hyo hali itausha tu kiongoz,ni mapenz ya mwanzoni,mi nishapitia zaid ya hayo ila nilijitathimini nikagundua mm ndo nampa mazingira ya kutaka nipanda kichwani,nilichofanya ni kupunguza mawasiliano kabxa,alivyoona ss nimeacha kuwa nunda hanipelekesh tena akaanza yy kuniangaikia,muda huo mie mapnx nae yashpungua,ikabid atumie njia ya kunipima kama nampena kwa kuniambia kuwa kacheat...nlichofanya ni kutojibu tu msg zake yaan mpka ss iv anahangaika kutumia rafiki zake wamuombee msamaha ila nimeamua kupiga kimya...ushauri,wanawake cc ndo tunatengeneza mazngira ya wao kututalawala,ukiwa na msimamo wao ndo wanarudi tena kwa kulia
 
Kakuona huna hela na anapoteza muda wake tu kwako!
 
Achana na mapenzi fanya shughuli zingine
 
Ulishajiuliza swali la kiuhalisia kama ana mchumba au wachumba akiwapima ili apate wa kuchagua au awatumie na kuwaacha solemba? Je wewe umejiridhishaje kuwa anakupenda au hata kukujali achia mbali kukupenda? Je ushawasilisha malalamiko yako kwake?
Huwa anakuwa mkali mno, nadhan pia ni feminist,mchungu kweli,ukimgusia chochote kuhusu yeye ntaishia kuomba mimi samahani
 
hapo kuna 2, huenda ni koloni la mtu au ashaumizwaga nyuma hivo hamwamini mtu tena, chakufanya mchunie kama atakimya mpotezee mazima bt kama atakutafuta jaribu kutafiti kiini cha tatizo ulifanyie kazi.
Shukran kaka
 
Mapenzi ndivyo yalivyo jombaa unayempenda hakupendi, Naye kuna mtu anampenda ambaye hampendi, na wewe kuna mtu anakupenda ila humpendi.

Kama unadhani ni rahisi kumpenda usiyempenda ungeanza wewe kumwelewa yule usiyemwelewa.
Hii ndo formula asee[emoji848]

Ndo maana simpendi mtu yeyote, najipenda mimi
 
Usikubali kuumia peke yako we Bata jaribu kumfanyia tuvitu very touching si lazima viwe vikubwa no vidogo tu just do it kwa muda fulani,halafu Kama haendelei kuonyesha interesting sitisha kila kitu namaanisha mawasiliano,ukaribu n.k we tulia Kama huoni mwenyewe ataona Kuna pengo atavimiss hivyo ulivyokuwa unavifanya atakurudia.. Kama hatarudi ndugu tafuta mwengine.. hisia za mapenzi haziumagi muda wote Kuna muda jua tu zitaisha so jipe matumaini utapita hicho kipindi maisha yatasonga
Ngoja nijaribu ntakuja na feedback
 
Shtuka na acha kulia lia kwake kwa kuwa tayari ukweli ameshaujua kuwa unampenda sana. Ukiendelea na mwenendo huo atakuendesha mpaka ukome na kumuacha itakuwa ngumu. Hawa viumbe hawapendi wanaume wa kulia lia, be rude kiasi then fanya mambo yako ukijishusha sana kwake anakuona fala na ataona hustahili kuwa mwanaume wake.
Inaonesha kwenye mahusiano bado ujaiva ndio mgeni au nakosea?

Mim kuna mmoja nilikua nadate nae anachowaza yeye ni ndoa tu na kulazimisha mambo nikamuelekeza mambo huwa yanafata taratibu, likawa ni kosa kumueleza hivyo akaja juu oh tuachane na usinijue/usinitafute kuanzia leo futa na namba zangu uwe na maisha mema nikacheka sana alafu nikamjibu poa kila la kheri nikakata simu.
[emoji16][emoji16] asubuhi kesho yake akanitafuta analia nmsamehe amekosea nkamwambia hajakosea kuusikiliza moyo wake na kufanya maamuzi sahihi ishi kwenye uliyoyasema jana nikakata simu. Hawa baadhi ukikubali akuendeshe anavyotaka yeye utaisoma namba atakugeuza msukule.
Ila naona ni kama Nina kaugonjwa kwa obsessive love disorder ndo maana haya yananikuta
 
Hiy
Hyo hali itausha tu kiongoz,ni mapenz ya mwanzoni,mi nishapitia zaid ya hayo ila nilijitathimini nikagundua mm ndo nampa mazingira ya kutaka nipanda kichwani,nilichofanya ni kupunguza mawasiliano kabxa,alivyoona ss nimeacha kuwa nunda hanipelekesh tena akaanza yy kuniangaikia,muda huo mie mapnx nae yashpungua,ikabid atumie njia ya kunipima kama nampena kwa kuniambia kuwa kacheat...nlichofanya ni kutojibu tu msg zake yaan mpka ss iv anahangaika kutumia rafiki zake wamuombee msamaha ila nimeamua kupiga kimya...ushauri,wanawake cc ndo tunatengeneza mazngira ya wao kututalawala,ukiwa na msimamo wao ndo wanarudi tena kwa kulia
Ngoja nijaribu kupunguza kawasiliono naye
 
Back
Top Bottom