WamevushwaMi mpk sahv siamini Kama mateka wa Israel wapo hapo hapo Gaza,au wamevushwa[emoji848]
578.3 km2 KigamboniGaza sio ndogo hivyo
Wako pale pale na leo kuna makubaliano yamesainiwa wapewe dawa kutoka israhell 😀Wamevushwa
Umegusa penyewe..Mdomo mbele,kutype kwingiSana
Yaani wanachokifanya hamas sio kidogo kwakweli
Yaani wabongo nikiwasikia wana maandamano sijui nini hua nawaangalia halaf nasema hapa hakuna liwalo
Yaani bado sana sana sanaaaaaaaa
Hesabu walizopiga ni kwamba hawana cha kupoteza...Liwalo na liweLakini mimi najiuliza hawa Hamas mahesabu yao waliopiga yapo vizuri kweli thamani ya wapalestina 24000 waliouawa na 75% ya gaza iliyoharibiwa ni sawa na mateka 130 na wayahudi 1200 waliowaua?
Mavi578.3 km2 Kigamboni
365 km2 ghaza strip
Hio ndio maana halisi ya MagaidiHesabu walizopiga ni kwamba hawana cha kupoteza...Liwalo na liwe
Wanaogopa kufaUmegusa penyewe..Mdomo mbele,kutype kwingi
Aaha wapiWako pale pale na leo kuna makubaliano yamesainiwa wapewe dawa kutoka israhell 😀
nchi jiran zinawazuia raia wema lkn zinawasaidia Hamas kwa vitu vingi ikiwemo hifadhi ya baadhi ya vitu vyao ikiwemo mateka ( ni confidential hii )Hawa hamas mipango yao waliipanga vipi, kaeneo kadogo kama gaza, jeshi kubwa la israel imeshindwa kupata mateka mpaka leo.
Mji umegeuzwa kifusi lakini bado unasikia wanashambulia.. Wapo gaza kweli hawa.!? [emoji848]
Nenda chooni bossMavi
GhazaAaha wapi
waislam wanawaza vita muda wote , hata hapa Tz mlijipanga mkaanzisha fujo huko kibiti ila apongezwe marehem aliwanyuka kisawa sawa , mijitu inalala msikitini kumbe migaidiKwamba idf wao hawakujipanga ama kwamba hamas walijipanga vyema zaidi kuliko idf?
wale wanaoishi Qatar , Lebanon , Syria na Iraq na wenyew wapo Gaza?Wapo hapo hapo ghaza mzeee
Ila jamaa wameamua tu liwalo na liwe yaani mpaka idf wenyewe hawaamini kinachoendelea
Mossad na wengine kadhalika kina CIA wote wanashangazwa na anachokifanya hamas
Wanaume kama hamas na mimi tumebakia wachache sana yaani
Confidential ila wewe umeijua 😀🤣😀🤣🤣nchi jiran zinawazuia raia wema lkn zinawasaidia Hamas kwa vitu vingi ikiwemo hifadhi ya baadhi ya vitu vyao ikiwemo mateka ( ni confidential hii )
Wale nao mateka wa kizayuni lala uamke dogowale wanaoishi Qatar , Lebanon , Syria na Iraq na wenyew wapo Gaza?
Ukanye ulaleNenda chooni boss
Wahi haraka usije ukachafua mjadala hapa jfUkanye ulale
Unaharisha vibayaWahi haraka usije ukachafua mjadala hapa jf
Ajabu watetezi wa Hamas wanataka Zelenskyy awe lelemama!Hamas wabishi sana, ila ndio inatakiwa ukidai haki usiwe lelemama.