Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

Sana
Yaani wanachokifanya hamas sio kidogo kwakweli

Yaani wabongo nikiwasikia wana maandamano sijui nini hua nawaangalia halaf nasema hapa hakuna liwalo

Yaani bado sana sana sanaaaaaaaa
Umegusa penyewe..Mdomo mbele,kutype kwingi
 
Hawa hamas mipango yao waliipanga vipi, kaeneo kadogo kama gaza, jeshi kubwa la israel imeshindwa kupata mateka mpaka leo.
Mji umegeuzwa kifusi lakini bado unasikia wanashambulia.. Wapo gaza kweli hawa.!? [emoji848]
nchi jiran zinawazuia raia wema lkn zinawasaidia Hamas kwa vitu vingi ikiwemo hifadhi ya baadhi ya vitu vyao ikiwemo mateka ( ni confidential hii )
 
Kwamba idf wao hawakujipanga ama kwamba hamas walijipanga vyema zaidi kuliko idf?
waislam wanawaza vita muda wote , hata hapa Tz mlijipanga mkaanzisha fujo huko kibiti ila apongezwe marehem aliwanyuka kisawa sawa , mijitu inalala msikitini kumbe migaidi
 
Wapo hapo hapo ghaza mzeee
Ila jamaa wameamua tu liwalo na liwe yaani mpaka idf wenyewe hawaamini kinachoendelea
Mossad na wengine kadhalika kina CIA wote wanashangazwa na anachokifanya hamas

Wanaume kama hamas na mimi tumebakia wachache sana yaani
wale wanaoishi Qatar , Lebanon , Syria na Iraq na wenyew wapo Gaza?
 
nchi jiran zinawazuia raia wema lkn zinawasaidia Hamas kwa vitu vingi ikiwemo hifadhi ya baadhi ya vitu vyao ikiwemo mateka ( ni confidential hii )
Confidential ila wewe umeijua 😀🤣😀🤣🤣
Jf inabidi tulipie sasa kila mwezi au kila neno maana mnaanza kutaipu pumba sana siku hizi
 
Back
Top Bottom