Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Ndio hivyo akuna unyonge,pambana.Ajabu watetezi wa Hamas wanataka Zelenskyy awe lelemama!
waliinvest kwa muda mrefu sana kwenye underground infrastructures, huko drones za myahudi na US haziwez kuwaonaHawa hamas mipango yao waliipanga vipi, kaeneo kadogo kama gaza, jeshi kubwa la israel imeshindwa kupata mateka mpaka leo.
Mji umegeuzwa kifusi lakini bado unasikia wanashambulia.. Wapo gaza kweli hawa? 🤔
Sasa unacho bisha ni kitu gani?MUONGO wewe ongopea wajukuu zako hapo leta kilometres za mraba za Gaza na kilometres za mraba za Kigamboni uone unavyoumbuka, unawavesha kamba
Uzuri wao kila mtu ni mwanajeshi ila wakiuawa utasikia raia wameuawa,waandishi wa habari ,daktari au nesi kauawa.Tukiacha na ushabiki hawa HAMAS wanatisha Sana sidhani kama kuna kundi lingine wanaweza KUPIGANA huku wameshikia mateka kwa zaidi ya miezi 3.
Kwasababu eneo ambalo wanapigana vita ni dogo sana kama wilaya ya kigamboni lakini Israel anahangaika nao mwanzo mwisho
Ni sahihiUzuri wao kila mtu ni mwanajeshi ila wakiuawa utasikia raia wameuawa,waandishi wa habari ,daktari au nesi kauawa.
Isingekuwa kelele za nje,vita ingekuwa imeisha.
Nasema hivyo kwa sababu,IDF anataja wanajeshi wake waliokufa vitani lakini hamasi hataji hata mmoja,kila siku anasema wanawake na watoto wameuliwa,hospitali zimebomolewa n.k
Kwani kutaja ama kutokutaja wafu ndio kuna fanya ushinde vitaUzuri wao kila mtu ni mwanajeshi ila wakiuawa utasikia raia wameuawa,waandishi wa habari ,daktari au nesi kauawa.
Isingekuwa kelele za nje,vita ingekuwa imeisha.
Nasema hivyo kwa sababu,IDF anataja wanajeshi wake waliokufa vitani lakini hamasi hataji hata mmoja,kila siku anasema wanawake na watoto wameuliwa,hospitali zimebomolewa n.k
Kuna watu huwa nawaambia nothing beats determination in warVita ni mbinu na mikakati Leo hii kundi ambalo lilikuwa linaonekana si lolote si chochote, linamtoa jasho moja ya majeshi bora kabisa duniani.[emoji3]
Hili la Hamas linanikumbusha jinsi Wasomali walivyo wafurusha majeshi ya USA katika ardhi yao.
Marekani na ubabe wake,jeshi kubwa + resources nyingi alizo nazo kuweza kupigana vita kwa muda mrefu ,lakini vita zote za uvamizi alizofanya aliishia kula za pua na kufurushwa kwa aibu ( failure )Vita ni mbinu na mikakati Leo hii kundi ambalo lilikuwa linaonekana si lolote si chochote, linamtoa jasho moja ya majeshi bora kabisa duniani.[emoji3]
Hili la Hamas linanikumbusha jinsi Wasomali walivyo wafurusha majeshi ya USA katika ardhi yao.
Hamas ni miamba na wanaume haswa , na hapo hawana air defence system , hawana vifaru , hawana missilesHeheeee wapo hapo hapo mzee tena wanakula milo mitatu na zaidi kwa siku na maji safi ya kunywa
Na kubwa kuliko hawasikii hata mlio wa mabomu yaani
Hamas wamejua kukichafua asee au ghaza itakua kubwa kama Tanzania ila tunadanganywa
Maana idf wanavyo teseka... [emoji848]
China muondoe mkuu, anajua vile alivyowekewa kisu cha shingo hapo Taiwan, hawezi kuthubutu kujiingiza dhidi ya mabeberu.Ngoma inachezwa kote kote; na Hamas bila Iran, North Korea, China na Russsia, si chochote!
soma hapa Iran, China, Russia and North Korea are providing weapons to Hamas in the fight against lsrael
Ha ha ha ha ha ha haKaeneo kama Kigamboni ila kana utitiri wa watu isingekuwa huruma ya IDF kuepusha maafa kwa raia basi wiki nyingi Hamas wote wangekuwa kuzimu wananehemeka na bikra zao
Kumbuka huku dunia ya tatu ndo tunaumia zaidi kuliko hao wazungu na wayahudi.Mi nawakubali Waouth Kwa nunua ugomvi ambao unawasababishia ulaya na Israel maafa ya kiuchumi.
Si wana majini mkuu.Magaidi nahisi Wana mioyo tofauti na hii ya kwetu
TAZAMA WAKRISTO WANAVYOFANYWA NA WAYAHUDINyie watu wa ajabu sana..
Hamas wanauliwa na kuzikwa hukohuko bila huruma na haitangazwi popote kuficha ushahidi.
Nyie mko hapa kuongea ujinga tu.
TAZAMA WAKRISTO WANAVYOFANYWA NA WAYAHUDIHa ha ha ha ha ha ha