Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

Hawa hamas mipango yao waliipanga vipi, kaeneo kadogo kama gaza, jeshi kubwa la israel imeshindwa kupata mateka mpaka leo.

Mji umegeuzwa kifusi lakini bado unasikia wanashambulia.. Wapo gaza kweli hawa? 🤔
waliinvest kwa muda mrefu sana kwenye underground infrastructures, huko drones za myahudi na US haziwez kuwaona
 
MUONGO wewe ongopea wajukuu zako hapo leta kilometres za mraba za Gaza na kilometres za mraba za Kigamboni uone unavyoumbuka, unawavesha kamba
Sasa unacho bisha ni kitu gani?

Tena wilaya ya kigamboni ni kubwa kuizidi gaza.
 
Tukiacha na ushabiki hawa HAMAS wanatisha Sana sidhani kama kuna kundi lingine wanaweza KUPIGANA huku wameshikia mateka kwa zaidi ya miezi 3.

Kwasababu eneo ambalo wanapigana vita ni dogo sana kama wilaya ya kigamboni lakini Israel anahangaika nao mwanzo mwisho
Uzuri wao kila mtu ni mwanajeshi ila wakiuawa utasikia raia wameuawa,waandishi wa habari ,daktari au nesi kauawa.
Isingekuwa kelele za nje,vita ingekuwa imeisha.
Nasema hivyo kwa sababu,IDF anataja wanajeshi wake waliokufa vitani lakini hamasi hataji hata mmoja,kila siku anasema wanawake na watoto wameuliwa,hospitali zimebomolewa n.k
 
Ni sahihi
 
Kwani kutaja ama kutokutaja wafu ndio kuna fanya ushinde vita
Over-rated israhell ilikua inaonekana kama nini kumbe yakawaida sanaaaaaaaa
 
Vita ni mbinu na mikakati Leo hii kundi ambalo lilikuwa linaonekana si lolote si chochote, linamtoa jasho moja ya majeshi bora kabisa duniani.[emoji3]

Hili la Hamas linanikumbusha jinsi Wasomali walivyo wafurusha majeshi ya USA katika ardhi yao.
Kuna watu huwa nawaambia nothing beats determination in war
Huwezi kupambana vita ya uvamizi na unategemea mtelezo hata siku moja ,vita ya uvamizi ni ngumu kuliko
Huyo aliyevamiwa lazima apambane kulinda kilicho chake kwa kila hali
Kuna mazuzu humu yalikuwa yanasema Hamas anafutwa ndani ya wiki
Pumbav ,mnadhani vita ni kama kucheza singeli au ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vita ni mbinu na mikakati Leo hii kundi ambalo lilikuwa linaonekana si lolote si chochote, linamtoa jasho moja ya majeshi bora kabisa duniani.[emoji3]

Hili la Hamas linanikumbusha jinsi Wasomali walivyo wafurusha majeshi ya USA katika ardhi yao.
Marekani na ubabe wake,jeshi kubwa + resources nyingi alizo nazo kuweza kupigana vita kwa muda mrefu ,lakini vita zote za uvamizi alizofanya aliishia kula za pua na kufurushwa kwa aibu ( failure )
 
Heheeee wapo hapo hapo mzee tena wanakula milo mitatu na zaidi kwa siku na maji safi ya kunywa
Na kubwa kuliko hawasikii hata mlio wa mabomu yaani

Hamas wamejua kukichafua asee au ghaza itakua kubwa kama Tanzania ila tunadanganywa

Maana idf wanavyo teseka... [emoji848]
Hamas ni miamba na wanaume haswa , na hapo hawana air defence system , hawana vifaru , hawana missiles
Silaha wanazotumia ni hizo silaha za kienyeji kama RPG ,bunduki , grenades na rocket wanazotengeneza wenyewe huko kwenye karakana zao chini ya ardhi .
IDF washukuru sana Hamas hana sikaha nzito , wangeumia hawa watoto mchele mchele
 
Karma

Major shock in London and Tel Aviv

British General Alexander Emmanuel, leader of the "Claw" battalion participating in the Gaza war, is killed. Alexander was a hero of the Iraq war and a member of the battalion that captured President Saddam Hussein.
 
Attachments

  • IMG_20240120_224411.jpg
    IMG_20240120_224411.jpg
    77.1 KB · Views: 3
Nyie watu wa ajabu sana..
Hamas wanauliwa na kuzikwa hukohuko bila huruma na haitangazwi popote kuficha ushahidi.
Nyie mko hapa kuongea ujinga tu.
 
TAZAMA WAKRISTO WANAVYOFANYWA NA WAYAHUDI
Halafu jiulize wewe na makafiri wenzako KWANINI KILA SIKU MNATETEA WAYAHUDI? NA KUWAPUUZA HAWA WAKRISTO waliokuleteeni Huo UKRISTO hapa AFRICA?

View: https://youtu.be/aRwlc-_kjhA?si=Xg7-sfWRh8DJa9yS

WAYAHUDI WANATEMEA MATE KIMA MAMA WA WAKRISTO
ISRAEL

View: https://youtube.com/shorts/7uL555xWQeE?si=v0sGvcpZcH1P8WDn

Huyu MYAHUDI ANADAI YESU ALIKUWA Nazi wa Kijerumanj km HITLER..

View: https://youtu.be/hnnggA-mIJI?si=1-u57MohjX2h7ehN
 
Ha ha ha ha ha ha ha

Update idadi huko ngapi?
Wayahudi wa buza tunataka taarifa.
Kipondo ni ijumaa mpk j3.
Km tulivyokubaliana na wenzetu huko.
 
Back
Top Bottom