Lakini katika wana wa Israeli hapana hata mbwa atakayetoa ulimi juu yao, juu ya mtu wala juu ya mnyama; ili kwamba mpate kujua jinsi BWANA anavyowatenga Wamisri na Waisraeli.... kwa muktadha wa andiko hilo, wana Israel kwa kizazi hiki ni akina nani?
Ikumbukwe adhabu ya kifo cha wazaliwa wa kwanza ilikuwa kwa nyumba zote za wamisri. Je, similar adhabu itakuwa ni kwa watanzania wote? Tumemkosea nini Mungu hata tusioshiriki karamu za "Farao" tuadhibiwe?
Ndio hapo sasa ufafanue wamisri ni akina nani na waisrael ni nani ili kila mmoja ajue yuko kundi gani ili (waisrael) wanyamaze kimya maana Bwana ndiye mtetezi wao.Lakini katika wana wa Israeli hapana hata mbwa atakayetoa ulimi juu yao, juu ya mtu wala juu ya mnyama; ili kwamba mpate kujua jinsi BWANA anavyowatenga Wamisri na Waisraeli.
Jikumbishe zaidi.Waisraeli,mbali ya Wamisri,waliambiwa wafanye nini ili malaika mtwaa roho akifika aione tofauti!... kwa muktadha wa andiko hilo, wana Israel kwa kizazi hiki ni akina nani?
Ikumbukwe adhabu ya kifo cha wazaliwa wa kwanza ilikuwa kwa nyumba zote za wamisri. Je, similar adhabu itakuwa ni kwa watanzania wote? Tumemkosea nini Mungu hata tusioshiriki karamu za "Farao" tuadhibiwe?
Chivayo.Hii picha ni ya nani
Kila mmoja ajue yuko kundi gani na anapaswa afanye nini ili apate kupona.Jikumbishe zaidi.Waisraeli,mbali ya Wamisri,waliambiwa wafanye nini ili malaika mtwaa roho akifika aione tofauti!
Kila mmoja tena?Hata waisraeli waliambiwa,wakiwa peke yao,kwamba wapake damu ya mwanakondoo malangoni pap ili kuweka tofauti na utambulisho.Kila mmoja ajue yuko kundi gani na anapaswa afanye nini ili apate kupona.
Wewe umepata ujumbe wa malaika wa nini cha kufanya?Kila mmoja tena?Hata waisraeli waliambiwa,wakiwa peke yao,kwamba wapake damu ya mwanakondoo malangoni pap ili kuweka tofauti na utambulisho.
Maiti haifai kuagaBWANA akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku.
BWANA akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, asiwape wana wa Israeli ruhusa watoke nchi yake.
BWANA akasema, usiku wa manane nitapita katikati ya nchi ya Misri; na wazaliwa wa kwanza wote watakufa, tangu yule
If I tell you, I'm afraid, I'm gonna kill you first!Wewe umepata ujumbe wa malaika wa nini cha kufanya?
Mkuu huyo anakusumbua tu anajua kila kitu.Kila mmoja tena?Hata waisraeli waliambiwa,wakiwa peke yao,kwamba wapake damu ya mwanakondoo malangoni pap ili kuweka tofauti na utambulisho.
Tuna-buybuy time mkuu!Mkuu huyo anakusumbua tu anajua kila kitu.
Tenda wema nenda zako ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga.Aisee, amekuwa na mwisho wa kutisha ndugu chivayo
Hakika mkuuTenda wema nenda zako.