Mapigo 10 ya Mungu kwenye siasa za Tanzania. Mungu akamwambia Farao bado pigo moja

Hivi Farao aliumbwa na nan?na huyo aliefanya moyo wa farao kuwa mgumu je alishindwaje kuulainisha ili waisraeli waendelee kuishi Misri kwa amani?Je has wazaliwa wa kwanza katika kila nyumba ya mmisri walikuwa na kosa gani mpaka wauwawe?
 
Waisraeli hawakuguswa bali wamisri kina Mwigulu waliokuwa wanafurahia mateso ya Waisraeli.
 
LAKINI FARAO ANAENDELEA KUUFANYA MOYO WAKE KUA MGUMU 🤦🏾‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…