Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi

Ina maana this is not great news?
Huwa hawakurupuki, ni mpk wajiridhishe. Hizo media siyo sawa na kitengeTV, inatangaza mapinduzi halafu dakikq chache baadaye anaandika jaribio la mapinduzi limezimwa.
 
Mfungua Post alitaka watangaze kwa Kiswahili. Hata hajui Benin hawaongei Kiswahili 🤣🤣🤣
 
Hazikupewa uzito sana lakini zimeripotiwa na media mbali mbali za Kimataifa!
Kumbuka kwa Tanzania zilitrend sana kwa sababu hakuna aliyeamini kwamba hayo yangetokea kwa jinsi ambavyo Tanzania iliheshimika kwa kutunza Amani( pamoja na kwamba hakukuwa na amani bali imani ya kuvumilia udikteta)!
 
Ina maana this is not great news?

Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi
Vyombo vyote hivyo vimetangaza hayo mapinduzi kwenye media zao iwe TV au Social media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…