Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Liverpool waliofungwa 5 na aston villa walipanga kikosi cha under 23, tofauti na simba ambao wamepanga kikosi A, mbaya zaidi mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi amejiuzulu kutokana na kupoteza fainali. Maanake ni kwamba uongozi wa simba walitaka kombe kwa udi na uvumba lakini mambo yamewaendea ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeua mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…