Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Masikini, huyu ndio mtabiri wa Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono 100%
Yanga unstoppable
Amesha aibika tayari...Haya mkuu subiri uaibike nafikiri utashindwa hata kujibu comments zetu
Eti wa Matopeni.. ....
Sawa subirini tuwaone wa kimataifa
Hizi ndio data zilizokwenda shule,watakuja mikia na vidata uchwala vyao.
Hahahahaha...... Kipigo cha bao 4...? Hatari tupuKweli jamaa kachambua vizuri ...ukiachilia mbali ushabiki Simba wajipange vizuri performance yao sio nzuri ya kupata goli moja hawana team work kila MTU anacheza kivyake!Yanga uwezekano wa kufunga magoli mengi upo fikiria juzi Tambwe na Chirwa hawakucheza hii pekee sycologically timu zimeanza kuingia woga!
Vipi bado upo??Kama unashindwa kuwamwagia mvua ya Mabao hao wala ulojo..leo hii uje kumfunga Azam FC na kikosi chenu hicho. Unanichekesha sana Mkuu. hahahahaha
4G vipo[emoji23] [emoji23]Naunga mkono 100%
Yanga unstoppable
Hahaha Yebo yebo oyeeeee!!!!Matokeo ya yanga yapo kwenye website ya necta,
Wamepata division 4
Usingizi muutoe wapi na zamu yenu inakuja!! Yanga alichofanya ni kumsaidia azam afike nusu fainaliAsante Mungu japo sasa tutapata usingizi, kupata kibonde kukifunga 6 kama walichukua kombe la dunia? Na baaaado...
We monicca. Nini weweידךג לגליגימבת₪?Usingizi muutoe wapi na zamu yenu inakuja!! Yanga alichofanya ni kumsaidia azam afike nusu fainali
Kweli kabisaNaona mleta uzi umekunywa gongo murua iliyopoa vema kwenye jokofu
Usingizi muutoe wapi na zamu yenu inakuja!! Yanga alichofanya ni kumsaidia azam afike nusu fainali
Haya mkuu subiri uaibike nafikiri utashindwa hata kujibu comments zetu
Eti wa Matopeni.. ....
Sawa subirini tuwaone wa kimataifa