Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

Hizi ndio data zilizokwenda shule,watakuja mikia na vidata uchwala vyao.

Data Zimekwenda Shule Unaishia Kutandikwa 4G 😀😀 [emoji12] [emoji12] .... Je Zingeishia Kindergarten ungelambwa Ngapi??

Endeleeni Tu Kujifariji JF lakini Kigenge Chenu Kitarudi Dar Nyuso Chini Kwa Aibu na Uchambuzi Maandazi Wenu huu....
 
Kweli jamaa kachambua vizuri ...ukiachilia mbali ushabiki Simba wajipange vizuri performance yao sio nzuri ya kupata goli moja hawana team work kila MTU anacheza kivyake!Yanga uwezekano wa kufunga magoli mengi upo fikiria juzi Tambwe na Chirwa hawakucheza hii pekee sycologically timu zimeanza kuingia woga!
Hahahahaha...... Kipigo cha bao 4...? Hatari tupu

Daah...
 
Asante Mungu japo sasa tutapata usingizi, kupata kibonde kukifunga 6 kama walichukua kombe la dunia? Na baaaado...
 
Asante Mungu japo sasa tutapata usingizi, kupata kibonde kukifunga 6 kama walichukua kombe la dunia? Na baaaado...
Usingizi muutoe wapi na zamu yenu inakuja!! Yanga alichofanya ni kumsaidia azam afike nusu fainali
 
Huyu jamaa na kithread chake muda wote alikuwa analala hapa anashinda hapa anaamka hapa.
Yani alikuwa anajiona shafii dauda kwenye hii thread.
Sasa hivi kapotea. Atarudi sijui..
Manake mikelel ooh mara wa matopeni ooor maraaa sijui nini... Na wakimsifia basi ndio anafurahi
Kengw kabisa..mpira unadunda
 
Kademu Demigod bado kanaharisha?Itakuwa kipindupindu sio bure.4G sio mchezo.
 
Usingizi muutoe wapi na zamu yenu inakuja!! Yanga alichofanya ni kumsaidia azam afike nusu fainali

😀 😀 😀 Msimamo Kabla Ya Mchezo wa 4G FC vs Azam ulikuwa hivi ↓↓

Timu P Pts
Yanga 2 6
Azam 2 4
Z'Moto 3 3
J'Huri 3 1

Sasa Hapo Hebu Tuambie 4G FC kamsaidia Kivipi Azam ili Afike Nusu Fainali Wakati Wote Walikwisha ingia?
Endeleeni tu Kujifariji....
 
Wametutikwa magoli unadhani wanalo la kusema tena!!!
Haya mkuu subiri uaibike nafikiri utashindwa hata kujibu comments zetu

Eti wa Matopeni.. ....
Sawa subirini tuwaone wa kimataifa
 
Back
Top Bottom