Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Kama hawakuliwekea kipaumbele mmepoteza muda wa nini na Kwanini mpeleke timu??.
Tumetumia kama nafasi ya kuwajaribu baadhi ya wachezaji kupima uwezo wao
 
Hapana, si suala la kufananishana, NI JAMBO LA UKIONA HUIEKEWI TIMU YAKO AU UKIFUNGWA UNAHAMA

Karibu kwa wananchi
Hilo haliwezekaniki

Kwenye mpira kufungwa ni kawaida, ukihama Simba kwasababu umefungwa, je huko utapo hamia napo utatarajia kuhama endapo utafungwa?
 
Kuweka kumbukumbu sawa; Mwaka jana Yanga ilitolewa kwenye nusu fainali na Azam! Yena kwa mikwaju ya penati 8 kwa 9.

Labda uongelee miaka ya hapo kati tulipokuwa tunapeleka kikosi cha U20.
Kupigwa ni kupigwa tuu muraa tena inauma mlikua na kikosi cha first eleven yenu
 
Tumetumia kama nafasi ya kuwajaribu baadhi ya wachezaji kupima uwezo wao
Wachezaji gani kwa mfano mlitumia hiyo mechi kuwajaribu? Yaani wachezaji wapo kwenye kikosi chenu kwa misimu ya kutosha tu! Halafu unaleta story za kujaribu!!!

Sema timu yenu haina kikosi kipana, utaeleweka. No Chama, no goal! No assist.
 
Wachezaji gani kwa mfano mlitumia hiyo mechi kuwajaribu? Yaani wachezaji wapo kwenye kikosi chenu kwa misimu ya kutosha tu! Halafu unaleta story za kujaribu!!!

Sema timu yenu haina kikosk kipana, utaeleweka. No Chama, no goal! No assist.
Kumbe na nyie mnamkubali Chama mwamba wa Lusaka..na akiungana pale na Antibayotike maji mtaita mmaaa
 
We Kalpana, huyu Evelyn Salt wala hajauliza ni kikosi gani wala kama ni Simba Queens ndo walicheza. Jibu swali banaa
Nimemjibu kwa uzuri zaidi asije sema kikosi kilikua na kina Chama na kina Boco au kina anibayotiki...nimemwambie kile kilikua kikosi kilichojaa watu wa Sub πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Yani jana tungefungwa na kikosi cha First Eleven ingeniumaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…