Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Una enjoy mpaka maumivu ya mechi ya leo huyasikii kabisa.Endeleeni kujiliwaza na mkataba wa Fei.
We fanya uchunguzi mdogo angalia kama utaona kuna mwana Simba yeyote ameumizwa na matokeo ya leo

Katika watu 10 nakuhakikishia hupati hata wa 3 ambao wamehuzunishwa na matokeo ya leo
 
Acha kujipaka ubabaifu kila shabiki anaumia haijalishi timu imecheza na Nani!!.
Hivi we kwa utashi wako unaona hili kombe Simba imeliwekea kipaumbele?
 
Aaaah umenikosea heshima sana yani niwe nije Yanga ili niwe miongoni mwa watu wasio na akili?

Labda mnihakikishie kuwa wenye akili tutakuwa watatu
Badala ushukuru unakuja timu makini. Ambayo daima ni mbele, kuliko mkia ona mnaliwa hadi na wala urojo...
Kina Amii wanawasalimia huko...
 
Badala ushukuru unakuja timu makini. Ambayo daima ni mbele, kuliko mkia ona mnaliwa hadi na wala urojo...
Kina Amii wanawasalimia huko...
Timu makini haiwezi kuwa na wazee kama wale

Wazee wanatishia kuandamana kwa Mama, hivi saizi naskia chapati hamli mpo kwenye mgomo.
 
Back
Top Bottom