Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
😅😅😅 Sema Kibu ni changamoto sana. Nilikuwa nadhan mashabiki wa Simba hamumpendi, ila baada ya kumuona Anaishangaa ile pass ya Akpan, nikabaki nacheka tuKibu ni yule yule hata avuke maji