Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

O

Okra ni mtu anafaa kuwa kikosi cha kwanza, ila mgund huwa anamuharibu kumpanga akacheze winga ya kushoto, hawezi kukupa kilicho bora zaidi, kama anavyotaka kumuharibu sakho.
Best positions za Okrah na Sakho ni zipi uwanjani ?
 
Kuna viongozi wa Simba still watatumia matokeo ya mechi hii kama kiboko kwa Mgunda.
 
Dakika moja ndo anamtoa Kibu? Bora walivyomfanya awe kocha msaidizi huyu Mgunda. Kuna sababu gani ya kuwapeleka wachezaji wote Zenj halafu huwachezeshi?
Mi naona Mgunda kafanya jambo zuri ili wale waliokuwa wanamfikiria Kibu ni mchezaji bora ila hapewi tu nafasi wajionee
 
Mlandege ni mafala tena wakiwango cha juu kabisa

Pale hata ukimuweka kilema hakukosi
 
Yaani Gadiel Michael ( mbeba hirizi ) leo ndio kapteni wa timu yetu..
Hii inatoa tafsiri gani ndugu zangu wa Simba
Gadiel si ndiyo alitoa ile bonge la cross lililozaa bao la 6 au 7 mechi na Prisons? Kaangalie tena.
 
Back
Top Bottom