technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kidude cha matakoni 😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijuacho OKRA NI BAMIAOkrah alianza vizuri lakini...
Dakika moja ndo anamtoa Kibu? Bora walivyomfanya awe kocha msaidizi huyu Mgunda. Kuna sababu gani ya kuwapeleka wachezaji wote Zenj halafu huwachezeshi?Kibu anatoka anaingia Hassan Mussa
Best positions za Okrah na Sakho ni zipi uwanjani ?O
Okra ni mtu anafaa kuwa kikosi cha kwanza, ila mgund huwa anamuharibu kumpanga akacheze winga ya kushoto, hawezi kukupa kilicho bora zaidi, kama anavyotaka kumuharibu sakho.
Wale tu hadi wasazeNililwambia ukakaza shingo. Nijibu kati ya Mlandege na mkia nani anakula?
Mi naona Mgunda kafanya jambo zuri ili wale waliokuwa wanamfikiria Kibu ni mchezaji bora ila hapewi tu nafasi wajioneeDakika moja ndo anamtoa Kibu? Bora walivyomfanya awe kocha msaidizi huyu Mgunda. Kuna sababu gani ya kuwapeleka wachezaji wote Zenj halafu huwachezeshi?
Hivi waliwaza nini lakini? Lengo  lilikuwa nini hasa?Kuna viongozi wa Simba still watatumia matokeo ya mechi hii kama kiboko kwa Mgunda.
KabisaHawa hata bench hawastahili kuwepo
Ikumbukwe Akpan ni mchezaji wa kimataifa
Hahaha. Kwani kuna watu walikuwa wanaona Kibu mchezaji kweli?Mi naona Mgunda kafanya jambo zuri ili wale waliokuwa wanamfikiria Kibu ni mchezaji bora ila hapewi tu nafasi wajionee
Utapata dhambi bure. Ni kumwacha tuUza Huyuuu
Gadiel si ndiyo alitoa ile bonge la cross lililozaa bao la 6 au 7 mechi na Prisons? Kaangalie tena.Yaani Gadiel Michael ( mbeba hirizi ) leo ndio kapteni wa timu yetu..
Hii inatoa tafsiri gani ndugu zangu wa Simba