OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wabovu wa nje wanajulikanaKwasababu Okwa ni mkali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabovu wa nje wanajulikanaKwasababu Okwa ni mkali?
Lamba ndimu mkuu, kichefuchefu icho kitakata hahahaaaaaa!!!Ila Mgunda amefanya la maana sana kiwachezesha hawa mizigo wa leo. Ni mizigo hasa. No wonder Simba haina kikosi mbadala. Wachezaji wabovu wa kutupwa.
Mimi msinihusishe kwenye hao wachezaji. Sawa eehWachezaji wetu wazito Sana.
Kwa lipi mzee? Hata mzuka sina wa game hii.Lamba ndimu mkuu, kichefuchefu icho kitakata hahahaaaaaa!!!
Shangilia kwa raha zakoMmeshasikia huyu ni mla amewala mzima mzima...
Uchawi hauvuki bahari 👌👌👌👌
Hata mimi asee😆Mimi msinihusishe kwenye hao wachezaji. Sawa eeh