Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Kocha ana mkosi kweli mpande boti mrudi Dar kesho kutwa pumbavu

Simba kaliwa usiku

Full time Mlandege 0 simba 1.

Sorry nimechanganya madesa.

Mlandege 1 simba 0.

Halafu mapema saa 4 yuko hoi kamoja tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unayetaka kumpiga mtama umemkuta tayari yupo chini

Nyinyi mnaotupiga majungu kwa lengo la kutukera hivi hamuoni na sis tumefurahia haya matokeo??
 
Somo; Simba haina kikosi kipana nje ya wachezaji tegemezi!!, Washabiki oyaoya wa Simba kaeni mkijua kikosi chenu kidogo sana. Poleni sana..., Karibuni kesho muone kandanda na maana halisi ya kikosi kipana.
msisahau kuja na ubuyu na tende😅👈.
 
Unayetaka kumpiga mtama umemkuta tayari yupo chini

Nyinyi mnaotupiga majungu kwa lengo la kutukera hivi hamuoni na sis tumefurahia haya matokeo??
Scars hamna namna wala jinsi, manajifariji tu. Mlandege jioni kala urojo kawapiga kamoja, mikia chaliii 🤣🤣🤣🤣🤣 mfikishie salamu OKW BOBAN SUNZU ✌
 
Unayetaka kumpiga mtama umemkuta tayari yupo chini

Nyinyi mnaotupiga majungu kwa lengo la kutukera hivi hamuoni na sis tumefurahia haya matokeo??
Acha kujipaka ubabaifu kila shabiki anaumia haijalishi timu imecheza na Nani!!.
 
Back
Top Bottom