Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #201
We fanya uchunguzi mdogo angalia kama utaona kuna mwana Simba yeyote ameumizwa na matokeo ya leoUna enjoy mpaka maumivu ya mechi ya leo huyasikii kabisa.Endeleeni kujiliwaza na mkataba wa Fei.
Katika watu 10 nakuhakikishia hupati hata wa 3 ambao wamehuzunishwa na matokeo ya leo