Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Kocha mpya wa Simba atakuwa na kazi kubwa ya kusuka kikosi kwa kufanya maboresho sehemu nyingi.
Wachezaji wengi waliosajiliwa usajili uliopita viwango vyao ni vidogo sana aisee
 
Wakomae hivi hivi bila kuongeza mchezaji wa hatatlri kutoka kikosi cha kwanza
Kwenye mechi ya leo? Au kwenye mechi zijazo? Maana kama ni mechi ya leo, kwenye Sub hakuna hata mchezaji wa kikosi cha kwanza
 
Kumbe watu wapo mnatuletea hizi takataka
Mkuu haya mashindano huwezi ukaweka wachezaji muhimu wakati una mashindano muhimu mbeleni kama CAF

Ukipata majeruhi hapa basi upo kwenye nafasi ngumu sana kuweza kufanya vizuri kwenye michuano hiyo mingine

Unafikiri Yanga kumleta Kambole wamekosea?

Mayele ndio kwanza kapewa vaccation means hiyo ni hadhina na ndio maana Yanga walitaka kususa hii michuano kwasbabu haina pesa ya kutosha
 
Kwenye mechi ya leo? Au kwenye mechi zijazo? Maana kama ni mechi ya leo, kwenye Sub hakuna hata mchezaji wa kikosi cha kwanza
Mimi nataka kwenye hizi mechi ndogo ndogo kusiwepo na mchezaji muhimu hata mmoja ili mbivu na mbichi tuzione
 
Kocha mpya wa Simba pro Robertinho Arantes Pele sijui atakuwa kwenye Hali gani hapo nje..
Picha za marejeo zinamuonesha akikuna kichwa na kufikicha macho yake akiwa haamini anachokiano kutoka kwa wachezaji mahiri wa timu yake.
 
Hamna mchezaji apo
Vaa miwani kaka.
Bado hajanipa ule ubora, ila sio wa kumbeza eti hakuna mchezaji, kuna pasi kama 3 kapiga ni za moto, zinonesh ana jambo,
Kama huu ndio uwezo wake wa juu kabisa basi simba si saizi yake ila kama hiki ni cha wastani basi apewe muda.
 
Aisee sasa ndiyo muda muafaka wa huyu kocha mpya (rafiki wa karibu sana wa Pele) ajionee mwenyewe kwa macho kiwango duni cha team yetu ya Simba.
Wewe usiwe ndezi, hicho sio kikosi cha Simba

Usipagawe na jezi, hizo wameazima tu
 
Okwa anatoka nafasi yake inachululkwa na Akpan
 
Back
Top Bottom