Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

You can call whatever name you feel is okay with you, but that wont change the impeccable truth. You guys are hell-bound as fully exhibited in the diabolical Koran.

You are not the first braggadocios who is spewing despicable atrocities for the sake of your breathless demigoddess.

KWA LIPI AMBALO LINAWEZA KUTUFANYA TUMWAMINI MUHAMAAD(SAW)?

Kasema Mtume (s.a.w) "Hakika Mimi natania, wala sisemi yaliyokweli" (Mkweli Mwaminifu Juzuu ya 3-4, uk. 56 Hadithi Na. 853)
 
Pasco,
Kwanini uliondoshwa TBC? Au sababu ya kazi yako ya copy and paste? Maana naona umeichukua post ya Ritz umei paste kufanya update kwenye uzi wako😀😀😀 Teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:

Huna jipya......!
 
Pasco,
Kwanini uliondoshwa TBC? Au sababu ya kazi yako ya copy and paste? Maana naona umeichukua post ya Ritz umei paste kufanya update kwenye uzi wako😀😀😀 Teh teh teh.
Mkuu Khawarizm

Wale ambao anaowatuka kulikoni tena anachukuwa mabandiko yao kuuzia sura wakati kina mzee sukari wapo.

Majanga.
 
Last edited by a moderator:
HEBU tujuze kidogo! Manake we mtu wa baliadi unaonekana kuyafahamu mapinduzi kuliko wazanzibari wenyewe Kuwa chuo kikuu sio kusoma mojawapo ya shahada zilotelewazo hapo.
Ninataka kusema kuishi Zanzibar sio kufahamu Historia yake pasipo kusoma. Anayeweza kuijua ni yule anayefanya utafiti wa kina sio kukaa tu
 
Pasco,
Kwanini uliondoshwa TBC? Au sababu ya kazi yako ya copy and paste? Maana naona umeichukua post ya Ritz umei paste kufanya update kwenye uzi wako😀😀😀 Teh teh teh.
Nilifukuzwa kazi kwa kosa la kuwa mkweli daima!. Ukiwa mkweli sana ni tatizo, na hili nilimueleza hata rafiki yangu Zitto, kinachomponza ni kuwa mkweli daima!. Naomba nisiende kwenye details zaidi, ila hata hizi doze ninazomwaga humu, ni ukweli mtupu!.
Pasco.
 
Naanza kuona dalili ya muuza utumbo, maana mainzi yanaanza kutangulia!.
 
Matatizo yako wewe UMESHATUONYESHA HAPA! Elimu yako ni ya PRIMARY!! Sasa hata kujadili na wewe kuhusu hii Historia NI KUPOTEZA WAKATI TU!

Nikikuuliza je! unafahamu KITU GANI WAFARANSA WALIKIFANYA WAKATI WAMEANZISHA MASHAMBA YA MIWA NA BUNI{KAHAWA} KULE MAURITANIA! Huwezi kunipa jibu, mana yake ELIMU HII PRIMARY HAKUNA!
Khawarizm anakupa elimu KUBWA MNO KULIKO UWEZO WAKO! Matokeo yake Unamuona ADUI!

teh teh teh teh! Hizi elimu za KATA ni kaaz kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wale watumwa wengi waliochukuliwa uarabuni waliishia wepi.ningefurahi kuona ndugu wetu hao kama ilivyo kwa waliotoka afrika magharibi wanavyoonekana marekani
watumwa waliochukuliwa huku na kwingineko Afrika kisha kupelekwa Uarabuni waliishia kunyongwa, wanaume walihasiwa ndio maaana huwezi kuwaona kwa wingi kama waliopelekwa Amerika na Kwenye visiwa vya carribean,chezea mwarabu!
 
kwa hivyo baada ya kuona UKWELI NI TATIZO Umeamua kusema UONGO SIO??
Manake kila ukianzisha uzi hapa, unajaza UONGO MTUPU!! We hujui kuwa Yesu kakataza UONGO!:angry::angry:
 
kwa hivyo baada ya kuona UKWELI NI TATIZO Umeamua kusema UONGO SIO??
Manake kila ukianzisha uzi hapa, unajaza UONGO MTUPU!! We hujui kuwa Yesu kakataza UONGO!:angry::angry:
Kwenye kusanyiko la waovu, msema kweli ndie adui!, ninachokisema mimi ndio ukweli wenyewe!, ila kwa vile, wengi mmeaminishwa kwenye upotofu na ubatili, then ukweli wangu ndio unaudhania ni uongo!.
Uzuri wa ukweli, una sifa moja kubwa!, ukweli husimama mpaka mwisho, nikimaanisha mambo yoite yatapita lakini kweli ndio itasimama mpaka mwisho!.

Pasco.
 
Ikianzia ile ya wizi wa bandiko za waerevu,

Pana shida gani mtu kutokubali kuwa mambo yasitambui, ila kwa kupitia humu napata rizki yangu?!

Lakini akitokea mtu kukustaajabu kwa kuiba bandiko za zijana wa Madaaris, hoyo mie ndo ntamsangaa, maana yana tu ndo nilieleza kuwa
"(SI MUDA HUENDA UKAWA WAKUSANYA HIZI NONDO UPAWAZO HUMU NA KUUNGAUNGA ILI ATI NAWE BAADAYE UWAJUVYE WATU UMEANDIKA HISTORIA YA YANZANIA / ZANZIBAR)",

Leo yametimu, kabla hujapindukwa na siku...! Aaah kweli weye na wa kulishwa mazima mazima mithili ya "KASUKU", Pasco

Teeh teeh teeh.....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco

"Uongo, kama vile nyasi juu ya maji huelea, Atafutae lulu hana budi kupiga mbizi." John Dryden
 
Last edited by a moderator:

Umejibu kama layman afadhali ungebaki kushangaa pasipo kueleza maana ya uafrika. Umeleta suala jingine la "races" ambalo ni somo tofauti. Hata hivyo, wazo la kuwa kuna dhana au wazo la kuwa na "races" mara nyingi hutumika katika kuwabagua tu binadamu na hutumia kirahisirahisi bila tafaukuri ya kina. Hii ndiyo kusema kuwa, kati ya jamii ya binadamu, suala la "races" halina maana zaidi ya kuwajenga watu dhana ya "kibaguzi". Ieleweke kwamba binadamu wote wanaoishi ni jamii ya "homo-sapiens". Dhana ya "racism" ndiyo pia hupelekea kundi la jamii ya binadamu kujiona ni bora kuliko wengine. Tafakari mfano dhana ya mimi Mhutu na wewe mtutsi ilivyoleta maangamizi. Haya yote ni matokeo yatokanayo na dhana ya "races". Hii dhana haijumuishi tu rangi ya ngozi bali ni tu vingi, vinasaba, lugha, mipaka ya kijografia, nk. Turudi kwenye swali, uafrika ni nini na kuwa mwafrika maana yake nini?
 
Eti hawa ndio waandishi wa habari wa bongo.Ndio maana hii taaluma ina dharaulika. Pasco bora urudi kwenye kazi yako ya upambe kwa Lowasa kuliko kudharaulisha kazi ya uandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…