Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Nakutumia salamu za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.

Pasco
Mapinduzi ya Zanzibar yanakuhusu nini we Msukuma wa Shinyanga km sio unafiki na kujipendekeza?

Njaa kitu kibaya sana.
Ndio maana yule bosi wako muhindi akakutimua kazi kwa kukimbilia kutangaza mshindi wa kiti cha urais Zanzibar kabla ya Tume .
Tena ulitakiwa uwekwe ndani km Mwaka hivi ujifunze adabu.
 
Tito Okello katulia tu, wale waliokuwa wameufyata sasaiv ndo wanajifanya '' Wanamapinduzi halisi! '' Kweli kuna watu hawana aibu!
 
Hivi wale watumwa wengi waliochukuliwa uarabuni waliishia wepi.ningefurahi kuona ndugu wetu hao kama ilivyo kwa waliotoka afrika magharibi wanavyoonekana marekani
Ndio tatizo la kutokwenda shule
Wazungu walichukuwa na wanawake wengi kwa ajili ya kuwazalisha kama vile mifugo na kupata watumwa wapya kwa gharama nafuu
 
Watu wanaofikiri kwa kutumia MAKATO utawajua tu. Mtu katoa hoja bila kuutaja uislamu wewe unaanza kujihami. Kwani waarabu kuwa waislamu ndio kwamba hawakutenda ubaya? Waarabu si ndio wanaua waislamu wenzao kule Dafur? Mada inawahusu waarabu na si wazungu. Tumia kichwa kufikiri na sio hicho kiungo cha biashara yenu kule znz na Tanga.
Biashara gani ni ile ya Elton John na askofu wa kianglikana
we ni mjinga tuu
 
Wanabodi,
Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first hand information kuhusu mapinduzi hayo! akihojiwa na Baruan Muhuza wa BBC. Amekiri kuwa Sultani hakufukuzwa Zanzibar, alikuwa akitafutwa hivyo alitoroka mwenyewe!, na baada ya Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, waarabu hawakufukuzwa Zanzibar, bali walijiondokea wenyewe!.

Pasco.
Kuna hawa jamaa wavamizi kutoka Oman, walikuja wenyewe na kuvivamia visiwa vya Unguja na Pemba na kuvifanya ni mali yao as if havikuwa na wenyewe!. Wenyewe wenye visiwa vyao, kwa kusaidiwa na wangeni na ndugu zao wa upande wa pili, Januari 12, 1964, wakawatimua wavamizi hawa na kuvitwaa tena visiwa vyao na kuvirudisha mikononi mwao. Wavamizi hawa kwa vile walilowea kwa miaka mingi, wamezaliana, na kuoleana na wengi wamezaliwa Zanzibar hivyo hawana tena ndugu Oman, hivyo wanahesabika ni Wanzanzibar tuu!, ambao nao wanaitumia ile haki yao ya kikatiba kuchagua na kuchaguliwa!.

Kufuatia idadi ya wazaliwa hawa kuwa ni wengi kuliko wenyeji, kila uchaguzi, hushinda katika uchaguzi lakini hawatangazwi na kupewa ushindi wao halali kwa sababu fulani fulani!. Miongoni mwa sababu zilizotolewa ni visiwa hivyo vilipatikana kwa mapinduzi, huwezi kukabidhi nchi kwa vikaratasi!. Jee hii ni halali?.
Mkuu
Mohamed Said
Karibu
Pasco
 
Comrades( vijana wa Zanzibar waliopata mafunzo ya kijeshi Cuba ) ndio waliofanikisha mapinduzi. Hilo nalo limefifishwa na wanahistoria mlengo wa CCM.
 
Wanabodi,

Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30.

Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first hand information kuhusu mapinduzi hayo! akihojiwa na Baruan Muhuza wa BBC. Amekiri kuwa Sultani hakufukuzwa Zanzibar, alikuwa akitafutwa hivyo alitoroka mwenyewe!, na baada ya Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, waarabu hawakufukuzwa Zanzibar, bali walijiondokea wenyewe!.

Kesho kutafanyika mjadala maalum kuhusu Mapinduzi hayo Matukufu ya Zanzibar utakaoanza saa 12:45-1:30.

Siku ya kilele, kutatolewa nishani maalum za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, sijui kama yule shujaa halisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Field Marshal John Okello, atakumbukwa!.

Pasco.
Pasco,
Maelezo ni kama wajuavyo walioeleza. Lakini ukweli utabakia kuwa walofanikisha mapinduzi hawajatajwa nao ni Oscar Kambona, Abdallah Kassim Hanga, Ali Mwinyi Tambwe, Jumanne Abdallah, Victor Mkello, Omar Mohamed Mkwawa kuwataja wachache na jeshi la Wamakonde kutoka mashamba ya mkonge ya Sakura na Kipumbwi...tulia na fananisha na hayo ya Okello. Jiulize logistics na fedha za shughulI
hii yote nani alitioa? Bado sijawataja Mayahudi...
 
Malim mohamed said...wataje wote kwa manufaa ya umma vita ni kali sana hawa wahafidhina walificha ukwwli kwa muda mrefu sasa umevumbuka wameanza tena kwa kasi kubwa...naomba ushushe bayana za kutosha tena sana mkuu...natanguliza shukrani
 
Khaa!! Tofauti Ulaya na America ambapo Wafrika waliruhusiwa kuzaana wenyewe kwa wenyewe, Arabuni Wanaume walihasiwa (kwa kukatwa kengele) ila wanawake waliachwa na walitumika kama chombo cha starehe. Wengi wao waliuawa baada yakupata mimba wachache waliachwa na ndiyo kizazi cha nusu uarabu kinachoonekana leo huko.
It doesn't make any sense!!!! Kwa mtu mwenye akili yake kamili.
 
Dah... kama hilo hujui basi wote wanaodhani wana akili kamili inabidi wapimwe upya [emoji4]
Utumwa haukuwapo Afrika tu ulikua dunia nzima wakati huo. Waafrika tuliweka alama kwasababu ya rangi yetu. Inasemekana katika dunia nzima watumwa walioteswa sana na kufanyiwa unyama zaidi ni Amerika na huko waliruhusiwa kuzaa. Sasa hawa waarabu waliochukua watumwa kwao kwaajili ya kujinufaisha kisha wakawaua kwa kuwakata makengele It doesn't make sense!!
 
Kuna hawa jamaa wavamizi kutoka Oman, walikuja wenyewe na kuvivamia visiwa vya Unguja na Pemba na kuvifanya ni mali yao as if havikuwa na wenyewe!. Wenyewe wenye visiwa vyao, kwa kusaidiwa na wangeni na ndugu zao wa upande wa pili, Januari 12, 1964, wakawatimua wavamizi hawa na kuvitwaa tena visiwa vyao na kuvirudisha mikononi mwao. Wavamizi hawa kwa vile walilowea kwa miaka mingi, wamezaliana, na kuoleana na wengi wamezaliwa Zanzibar hivyo hawana tena ndugu Oman, hivyo wanahesabika ni Wanzanzibar tuu!, ambao nao wanaitumia ile haki yao ya kikatiba kuchagua na kuchaguliwa!.

Kufuatia idadi ya wazaliwa hawa kuwa ni wengi kuliko wenyeji, kila uchaguzi, hushinda katika uchaguzi lakini hawatangazwi na kupewa ushindi wao halali kwa sababu fulani fulani!. Miongoni mwa sababu zilizotolewa ni visiwa hivyo vilipatikana kwa mapinduzi, huwezi kukabidhi nchi kwa vikaratasi!. Jee hii ni halali?.
Mkuu
Mohamed Said
Karibu
Pasco

WAVAMIZI HAWA WANAOIANGAMIZA ZANZIBAR NA TANGANYIKA MNAWASAHAU

kanisa ambalo ndio njia kuu ya unyonyaji ya wakoloni ndio huwa linatetewa mara nyingi.

Angalia nini uovu wa kanisa katoliki Duniani

From running on donations to becoming an international holding company, the Catholic Church's financial past is littered with secrets.

So much that author Gerald Posner wrote hundreds of pages chronicling the institution's financial scandals in his new book, God's Bankers.

A little history:

Years ago, the Vatican financed its operations with donations and indulgences, free passes for sins in exchange for money. In the early days, the Vatican made little effort to keep track of finances, which meant the institution was rife with extravagant spending and embezzlement.

After teetering on the edge of bankruptcy several times, the Vatican appointed Bernardino Nogara as its new financial advisor in 1929, who straightened out the church's finances and grew a $92 million investment from Benito Mussolini into almost $1 billion.

World War II also played a huge role in the creation of the Vatican Bank, as well as the unique power it held. As the Allies imposed restrictions on bank accounts, it became harder to move money around. Nogara created the bank, called the Institute for Religious Works, in 1942 to avoid having financial transactions tracked through Western Banks. Because it resided in Vatican City, it was exempt from all wartime restrictions and became "the world's best offshore bank."

The quest to hold onto the money and power that followed resulted in shady deals, cover-ups, and scandals within the Vatican.

Among them, here are some of the craziest schemes revealed in Posner's book.

1. Making money directly off the murder of Jews during the Holocaust

A German officer admitted to having many war-time spies in the Vatican, one of them potentially being Nogara, the acclaimed and able financial advisor. During the war, Nogara began investing in Italian insurance companies which "developed into stakes that profited from the ongoing murder of Europe's Jews," Posner wrote.

These companies made money by keeping all financial assets from life insurance policies of deceased Jewish policyholders, and refusing to pay for those still living. But because the Vatican was not a direct insurer, it was never required to pay restitution after the war.

Many financial records were destroyed during the war, and the Vatican refused access to its own records. Therefore, the full scope of the scheme remains unclear.

Meanwhile, the pope at the time refused to publicly denounce anything the Third Reich was doing, even though the Vatican was one of the most informed institutions on the mass killings, long before the Allies discovered anything.

The Vatican Bank was the perfect place to hide billions in stolen wartime loot. The church also aided and saved many Nazi war criminals after the war.

2. Trying to buy fake securities from a Mafia-linked counterfeit ring

In 1973, the U.S Justice Department began looking into a potential role the Vatican Bank played in a counterfeit and stolen securities operation.

According to an 18-month FBI investigation, New York mobsters were planning to sell counterfeit corporate bonds and stock certificates to the Vatican, a $900 million payment in five installments over several months.

A Vatican cardinal planned to use the faked securities as collateral in order to obtain financing. The counterfeit bonds would be undetectable unless the Vatican Bank lost money on its investments and was unable to pay back the loans, at which point the Vatican could claim ignorance of an outside scam.

When confronted with the accusation in a secret meeting in New York, representatives of the Vatican refused to answer any questions. The then-president of the Vatican Bank, Paul Marcinkus, denied any wrongdoing. The investigation could not come up with enough information to charge Marcinkus or anyone in the Vatican.

3. Using $5 million to cover up monks who were squandering donations
After hearing reports that a group of Pauline monks in Philadelphia were involved in a financial scandal, church officials discovered that the monks in question had spent almost $20 million in charitable donations on a life of luxury.

The monks would raise funds for religious projects, yet would spend the money on cars and personal expenses. Despite their high lifestyle, they also defaulted on $4.3 million worth of church bonds. The vicar-general kept a mistress with church money, and took half the salary of friends appointed to monastery jobs.

Half the monks left the order when the Vatican ordered them to turn over their televisions, stereos, cars and credit cars.

To hide the scandal, the Vatican Bank sent more than $5 million to cover the cost of the monks' defaults and pay back creditors. The hush money also helped to avoid being sued or facing criminal charges.

4. Smugging gold into Poland to overthrow the communist regime
In an effort to fight communism in the 1980s, the Pope authorized the sending of millions in funds to help the Polish resistance, a ten million member organization in Poland called Solidarity.

Marcinkus had an Italian intelligence agent convert $3.5 million in cash into pure gold ingots, then smuggle them into Poland hidden in an SUV. The gold was placed in custom-built double bottoms and on the inside of the SUV doors.

Roberto Calvi, an Italian banker close to the Vatican Bank, said if the church's role ever came to light, it could lead to another world war and the collapse of the Vatican. "If it comes out that you're giving money to Solidarity, there won't be a stone left of St. Peters," Calvi told Marcinkus.

5. Laundering money for the Mafia and other Italian elite
Because of its sovereignty, the Vatican Bank has the ability to withhold account information from regulators and authorities. This secrecy has provided an excellent cover throughout history, as the Vatican moved money here and there to gain illegal profits and power.

"It was not much of a secret that for decades Italy's elite had used the IOR to hide their money," Posner wrote. "One internal review estimated there were approximately 9,300 accounts belonging to 'privileged citizens of Italy,' compared to only 2,500 that met the bank's strict rules. Some accounts were rumored to be proxies for the Spatola and Inzerillo crime families."

In the 1970s, the bank bought a stake in the Italian bank Ambrosiano, which was led by the banker Calvi. For two years, the Vatican Bank moved money around Ambrosiano's accounts, to allow banks and companies to pass financial inspection. Then they'd withdraw the money right after inspection, and keep a cut of the sum.

Ambrosiano later crashed in a massive scandal, and the Vatican paid a $244 million settlement without admitting to any wrongdoing. Calvi faced criminal charges, then died in a murder made to look like a suicide. Rumors swirled around who was responsible for Calvi's death – whispered possibilities including the Mafia and the Vatican.

In 2009, an Italian journalist published a book based on hundreds of internal documents smuggled out of the Vatican Bank that proved fake charity accounts were created and instead used for political donations, laundering, and embezzlement. Even donations to real charity accounts fell into the mix and ended up disappearing.

In 2012, four priests came under investigation for operating bank accounts for the Mafia to launder money.

You can find the full story of money, scandal, and power at the Vatican in Posner's book, God's Bankers.
 
Pasco,
Maelezo ni kama wajuavyo walioeleza. Lakini ukweli utabakia kuwa walofanikisha mapinduzi hawajatajwa nao ni Oscar Kambona, Abdallah Kassim Hanga, Ali Mwinyi Tambwe, Jumanne Abdallah, Victor Mkello, Omar Mohamed Mkwawa kuwataja wachache na jeshi la Wamakonde kutoka mashamba ya mkonge ya Sakura na Kipumbwi...tulia na fananisha na hayo ya Okello. Jiulize logistics na fedha za shughulI
hii yote nani alitioa? Bado sijawataja Mayahudi...
Mkuu Maalim Mohamed Said, mada iliyo mezani ni simulizi sio tuu ya shuhuda wa Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, bali mshiriki wa mapinduzi hayo, Mzee Sukari, akisimulia BBC!, wengi tuliaminishwa Sultan na Waarabu, waliokuwa wanatawala Zanzibar, walifukuzwa!, la hasha kumbe hawakufukuzwa bali walikimbia wenyewe!.

Mapinduzi yale yalikuwa ya kizalendo na hayakutumia hata sensi tano kipande!, watu walijitolea tuu!. Naona unataka kugeuza kibao kuwa ni Mayahudi ndio waliotoa pesa!. Zanzibar ilipinduliwa na wenye nchi yao, ambapo wageni wa Mwinyi Mkuu waliokaibishwa kwa nia njema wakafika jumla na kuifanya Zanzibar ndio kwao!.

Kesho asubuhi nitakuwa Zanzibar, kuna maktaba fulani ya Mwarabu fulani eneo la Malindi, ana histoia kubwa ya Zanzibar ambayo haijaandikwa. Nikipata muda nitapita niwaletee yale msio yajuwa!.

Pasco
 
WAVAMIZI HAWA WANAOIANGAMIZA ZANZIBAR NA TANGANYIKA MNAWASAHAU
kanisa ambalo ndio njia kuu ya unyonyaji ya wakoloni ndio huwa linatetewa mara nyingi.
Angalia nini uovu wa kanisa katoliki Duniani
Mkuu Gavana, mada iliyo mezani ni kuwahusu Waarabu hawakufukuzwa Zanzibar, Uovu wa kanisa has nothing to do with Waarabu kuikimbia Zanzibar!. Anzisha mada ya "Uovu wa Kanisa Katoliki Duniani" tutachangia!.

Pasco
 
Haya mapinduzi ya Zanzibar yanatolewa ufafanuzi tofauti. Sijui nani anasema kweli. Na Mfalme kama alikimbia inawezekana kwakujinusuru maisha yao kwani nchi tofauti duniani tunayaona haya hadi leo sio mageni. Ni jambo la kawaida kwenye vita utakimbia tu.
 
Mkuu Maalim Mohamed Said, mada iliyo mezani ni simulizi sio tuu ya shuhuda wa Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, bali mshiriki wa mapinduzi hayo, Mzee Sukari, akisimulia BBC!, wengi tuliaminishwa Sultan na Waarabu, waliokuwa wanatawala Zanzibar, walifukuzwa!, la hasha kumbe hawakufukuzwa bali walikimbia wenyewe!.

Mapinduzi yale yalikuwa ya kizalendo na hayakutumia hata sensi tano kipande!, watu walijitolea tuu!. Naona unataka kugeuza kibao kuwa ni Mayahudi ndio waliotoa pesa!. Zanzibar ilipinduliwa na wenye nchi yao, ambapo wageni wa Mwinyi Mkuu waliokaibishwa kwa nia njema wakafika jumla na kuifanya Zanzibar ndio kwao!.

Kesho asubuhi nitakuwa Zanzibar, kuna maktaba fulani ya Mwarabu fulani eneo la Malindi, ana histoia kubwa ya Zanzibar ambayo haijaandikwa. Nikipata muda nitapita niwaletee yale msio yajuwa!.

Pasco

Pasco uambiwe mara ngapi , Nyerere alimkamata Shamte , Waziri Mkuu wa serikali halali ya Zanzibar na kumuweka jela za Tanganyika kabla ya huo uitwao muungano hapo April 26 , 1964.

hujaelewa tu kuwa mapinduzi ni moja ya mikakati ya Nyerere kutekeleza ajenda za kuichukua Zanzibar chini ya uongozi wa kanisa katoliki . ??
 
Back
Top Bottom