Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Pasco,Mkuu Maalim Mohamed Said, mada iliyo mezani ni simulizi sio tuu ya shuhuda wa Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, bali mshiriki wa mapinduzi hayo, Mzee Sukari, akisimulia BBC!, wengi tuliaminishwa Sultan na Waarabu, waliokuwa wanatawala Zanzibar, walifukuzwa!, la hasha kumbe hawakufukuzwa bali walikimbia wenyewe!.
Mapinduzi yale yalikuwa ya kizalendo na hayakutumia hata sensi tano kipande!, watu walijitolea tuu!. Naona unataka kugeuza kibao kuwa ni Mayahudi ndio waliotoa pesa!. Zanzibar ilipinduliwa na wenye nchi yao, ambapo wageni wa Mwinyi Mkuu waliokaibishwa kwa nia njema wakafika jumla na kuifanya Zanzibar ndio kwao!.
Kesho asubuhi nitakuwa Zanzibar, kuna maktaba fulani ya Mwarabu fulani eneo la Malindi, ana histoia kubwa ya Zanzibar ambayo haijaandikwa. Nikipata muda nitapita niwaletee yale msio yajuwa!.
Pasco
Ni tabu kukuelewesha chochote katika historia ya Zanzibar.