Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
HIVI INAKUWAJE WAISLAMU WA NYAKATI HIZI WANAPINGA MAAGIZO YA MTUME WAO MUHAMAAD(SAW)??21.10 Basi mkutano walipeleka huko watu kumi na mbili elfu wa hao waliokuwa mashujaa sana, kisha wakawaamuru, wakisema, Endeni mkawapige wenyeji wa Yabesh-gileadi kwa makali ya upanga, na hata wanawake na watoto wadogo.
21.11 Na jambo mtakalotenda ni hili; mtamwangamiza kila mume kabisa, na kila mwanamke ambaye amelala na mume.
21.12 Nao wakapata katika wenyeji wa Yabesh-gileadi wanawali mia nne, ambao hawajamjua mtu mume kwa kulala naye; basi wakawaleta maragoni huko Shilo, ulioko katika nchi ya Kanaani.
SASA HAPA MKUU WANGU NA UJANJA WANGU NIKISOMA HAYA MAANDIKO, INABIDI NIOGOPE SANA KUWA KARIBU NA KIBOKO PAULO!
Abu Huraira, amesimulia: Mtume (s.a.w) amesema, "Yeyote miongoni mwenu, atakapoenda msikitini kusali, basi atizame, akiona uchafu au najisi katika viatu vyake aondoe kisha aswalie navyo." (Abù DäwudIbnu Khuzaimah ameipa daraja ya sahih).
MAANA YEYE ALISALI NA VIATU!
Hadithi ya Anas Bin Malik (r.a) kutoka kwa Said Bin Yazid Al-Azdi (r.a) amesema, nilimuliza Anas Bin Malik (r.a) "Hivi Mtume (s.a.w) alisali huku amevaa viatu vyake?" Akanijibu, "Ndiyo" (Bukhari, Hadithi Na. 383, Juzuu ya 1)
AU NA WAO WANAONA HUENDA ALIKUWA MWENDAWAZIMU??
Q 15:6 SURATUL HIJR
Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
