Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

HIVI INAKUWAJE WAISLAMU WA NYAKATI HIZI WANAPINGA MAAGIZO YA MTUME WAO MUHAMAAD(SAW)??

Abu Huraira, amesimulia: Mtume (s.a.w) amesema, "Yeyote miongoni mwenu, atakapoenda msikitini kusali, basi atizame, akiona uchafu au najisi katika viatu vyake aondoe kisha aswalie navyo." (Abù DäwudIbnu Khuzaimah ameipa daraja ya sahih).

MAANA YEYE ALISALI NA VIATU!
Hadithi ya Anas Bin Malik (r.a) kutoka kwa Said Bin Yazid Al-Azdi (r.a) amesema, nilimuliza Anas Bin Malik (r.a) "Hivi Mtume (s.a.w) alisali huku amevaa viatu vyake?" Akanijibu, "Ndiyo" (Bukhari, Hadithi Na. 383, Juzuu ya 1)

AU NA WAO WANAONA HUENDA ALIKUWA MWENDAWAZIMU??
Q 15:6 SURATUL HIJR
Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
 


Hata mimi huwa najiuliza! hawa WAKRISTO WAPENDA AMANI, Wacha MANENO YA PAULO! MBONA NENO LA mungu WAO PIA HAWALITEKELEZI??

Hebu tazama hapa!

[h=1]Mambo ya Walawi 21 : 17-24[/h]21.17 Nena na Haruni, umwambie, Mtu awaye yote wa kizazi chako wewe katika vizazi vyao, aliye na kilema, asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.
21.18 Kwa kuwa mtu awaye yote aliye na kilema hatakaribia; mtu kipofu, au kiwete, au mtu aliye na pua iliyoharibika, au aliye na kitu kilichozidi vimpasavyo mwili,
21.19 au mtu aliyevunjika mguu, au aliyevunjika mkono,
21.20 au aliye na kijongo, au aliye kibeti, au aliye na kilema cha jichoni, au aliye na upele, au mwenye buba, au aliyevunjika mapu.mbu;
21.21 mtu awaye yote wa kizazi cha Haruni kuhani aliye na kilema asikaribie kuzisongeza sadaka za Bwana kwa njia ya moto; ana kilema huyo asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.
21.22 Atakula chakula cha Mungu wake, katika hicho kilicho kitakatifu sana, na hicho kilicho kitakatifu.
21.23 Lakini hataingia ndani ya pazia, wala asikaribie madhabahu, kwa sababu ana kilema; ili kwamba asipanajisi patakatifu pangu; kwa kuwa mimi ndimi Bwana niwatakasaye.
21.24 Basi Musa akanena na Haruni na wanawe, na wana wa Israeli wote.


HAPA MKUU ANDIKO LINASEMA WALEMAVU WOTE NI MARUFUKU KUINGIA KWENYE IBADA!

Na mimi nina rafiki yangu kavunjika mguu! lkn aliposoma hili andiko na DINI kaikataa! sasa nimsaidieje arudi kwa bwana!?

manake na yeye anajiita "myahudi weusi"
 

Hata mimi huwa najiuliza! hawa WAKRISTO WAPENDA AMANI, Wacha MANENO YA PAULO! MBONA NENO LA mungu WAO PIA HAWALITEKELEZI??
ALLAH AFICHUA SIRI! KUMBE ALLAH YEYE NI KIUMBE.
KINA MAPAJA,NYAYO NA MUUNDI!.
Allah atawauliza siku ya kiyama: "vipi ninyi kwanini hamuendi huko wanakokwenda watu wengine?" Watajibu; "Bwana wetu hatujamuona" Atasema; "Ikiwa mtamwona Bwana wenu Mtamjua kwa alama gani?" Watajibu "Kati yetu sisi na yeye iko alama ikiwa tutamuona tutamjua" Atasema, "Alama gani hiyo? Mara Allah atafunua Muundi kutoka NYAYONI mpaka Kwenye MAPAJA' ndipo watamtabua kuwa ndiye Bwana wao, hapo wataanguka wote kumsujudia." (Tafsiri Ibn Kathiri, J. 4 uk. 435).
KWA SASA WAISLAMU HAWAWEZI KUMWONA MPAKA SIKU YA KIAMA!
HAWAWEZI KUTUDANGANYA ETI ALLAH HAONEKANI!

Labda wangetueleza Allah ni kiumbe gani!

KWA LIPI AMBALO LINAWEZA KUTUFANYA TUMWAMINI MUHAMAAD(SAW)?
Kasema Mtume (s.a.w) "Hakika Mimi natania, wala sisemi yaliyokweli" (Mkweli Mwaminifu Juzuu ya 3-4, uk. 56 Hadithi Na. 853)
 


Hapa tunaongelea mambo ya Demokrasia ya nchi yetu, Na cha kushukuru ni kuwa ANDIKO HALITUTAWALI!
Maana yake DEMOKRASIA IMEPIGWA MARUFUKU KABISA KTK ANDIKO LETU TAKATIFU LA AGANO JIPYA!

BWANA ANASEMA!

Luka 19 : 12-48

19.12 Basi akasema, Mtu mmoja, kabaila, alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie ufalme na kurudi.


19.13 Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.


19.14 Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale.


19.15 Ikawa aliporudi, ameupata ufalme wake, aliamuru waitwe wale watumwa aliowapa fedha, ili ajue faida aliyopata kila mtu kwa biashara yake.


19.16 Akaja wa kwanza, akasema, Bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi.
19.17 Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi.


19.18 Akaja wa pili, akasema, Bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida.


19.19 Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano.


19.20 Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka akiba katika leso.


19.21 Kwa maana nilikuogopa kwa kuwa u mtu mgumu; waondoa usichoweka, wavuna usichopanda.


19.22 Akamwambia, Nitakuhukumu kwa kinywa chako, mtumwa mwovu wewe. Ulinijua kuwa ni mtu mgumu, niondoaye nisichoweka, na kuvuna nisichopanda;


19.23 basi, mbona hukuiweka fedha yangu kwa watoao riba, ili nijapo niipate pamoja na faida yake?


19.24 Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang'anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.


19.25 Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi.


19.26 Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.


19.27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

Hapa tunajifunza mambo mawili!

kwanza Masikini wote kwa kauli ya yesu wanatakiwa kunyang'anywa walichonacho!

pili Atakae kataa kumfuata kiongozi mwenye imani hii kwa MUJIBU WA ANDIKO AKAMATWE AKACHINJWE MBELE YA KIONGOZI.

Yaani mkuu nyie mkitekeleza haya maandiko, saa hii kina
Ritz CHAMVIGA kahtaan wabara gombesugu crabat Adiosamigos Khawarizm THE BIG SHOW na Ngongoseke wameshachinjwa zamaani.
 
Last edited by a moderator:


Aisee wewe ni kiazi
Yaani waarabu wamewachukuwa watu weusi na wakawapeleka kwao irak na ndio maana wampo mpaka leo huko. alafu unasema waarabu hawakufanya utumwa. nazani hutaki tu kuamini waarabu walikuwa ni watwana walio wafanya waafrika watumwa. unazani hao waafrika walikuwa wanabeba pembe za ndovu kutoka bara mpaka pwani kwa kulipwa. waarabu waliwafanya waafrica watumwa kwa kuwabebea mizigo kutoka bara na wapofikisha mizigo waliuza mizigo na watumwa.
 


Ndugu mchangwaji, mi nilidhani najadili na mtanzania kumbe mhutu!

manake nimeona hujui hata tofauti ya
KUJIVUNA na KUJIVUNIA!
kuna andiko moja hapa linamsumbua sana rafiki yangu ambae alipata ajali ya gari akaumia sehemu zake za siri!

hili andiko LIMEMKATAZA KWENDA KANISANI! SASA Anaomba msaada! afanyeje??

[h=1]Kumbukumbu la Torati 23 : 1-25[/h]23.1 Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa Bwana.
23.2 Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana.

halafu jamani MPAKA KIZAZI CHA KUMI KINA MAKOSA GANI??
Sasa hawa watoto wa wachungaji wa nje ya ndoa makosa yao nini?? na huyu mungu kwanini anapendelea namna hii??

Hebu msaidie huyu rafiki yangu tafadhali.
 

kweli ajabu kama hutaki kusoma na kutumia akili yako...

mtumwa wa kiafrika huko ujiji kambeba master wake
View attachment 131954

mzungu akiwa amebebwa na mwafrika na huku kavaliswa pembe za ngombe...

View attachment 131955



@cattlerustler wale watumwa waliochukuliwa na waarabu umewekewa picha hapo juu! wanaishi na waarabu kama familia moja!
na hakuna ushahidi wowote wa maneno yako!

na hapo chini yake TAZAMA WAZUNGU WANAWAFANYA NINI NDUGU ZETU!!

Sasa na wewe nakuomba picha inayoonyesha "waarabu waliwafanya waafrica watumwa kwa kuwabebea mizigo kutoka bara na wapofikisha mizigo waliuza mizigo na watumwa" ili twende sambamba.
 

almansoor mussa acha uongo,

ka-google utapata picha kibao au angali link ya wikipedia haho chini



Photograph of a slave boy in Zanzibar. 'An Arab master's punishment for a slight offence. ' c. 1890.

Arab slave trade - Wikipedia, the free encyclopedia

kukataaa waarabu waliwafanya waafrika watumwa ni utumwa wa akili
 

Hii picha ya mwarabu anamtesa mtoto??
Au jamaa yangu una marienge!!

Halafu unajua maana ya WIKIPEDIA!?

Hio hata wewe pia UNAWEZA KUANDIKA UTAKACHO!

Weka picha ya mwarabu anatesa mwafrika. Kama ya hao wazungu!
Ili yudadavue vizuri.
 
Aidia,
Hivi unafikiri watu weusi walioko huko USA na Arabuni are proud to be Africanised, kama unataka kugombana nao muulize wewe asili yako wapi Africa, utajuta kuwauliza!!

Hujajibu swali lakini, soma tena swali halafu ndio ujibu usilete porojo za arifu betese.
 
kweli ajabu kama hutaki kusoma na kutumia akili yako...

mtumwa wa kiafrika huko ujiji kambeba master wake
View attachment 131954

mzungu akiwa amebebwa na mwafrika na huku kavaliswa pembe za ngombe...

View attachment 131955

Katika hiyo picha ya juu huyo alobebwa ni Major A.R.T Havery amebebwa na Askari ili anavuushwa mto ili viatu vyake visirowane.

Na hiyo kwenye rickshaw ni General Lord Mathews na binti yake. Lord Mathews ndie wakati huo aliekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza Zanzibar under the HM British Protectorate.
Ahsanta crabat
 
Last edited by a moderator:
Hujajibu swali lakini, soma tena swali halafu ndio ujibu usilete porojo za arifu betese.

Wewe Inakuhusu nini Matola, huyo niliempa hizi hoja anapaswa anijibu yeye na kupinga hayo ninayosema na wewe kama unamsaidia jibu kwa data kamili zq kupinga ninayosema. Mimi sitoi kwenye aya za vitabu vya Wayahudi Weusi kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Hujajibu swali lakini, soma tena swali halafu ndio ujibu usilete porojo za arifu betese.

Nadhani matola unataka kuchafua huu uzi.
Kwa mara ingine tena Umeshaanza kuleta udini.

Chunga heshima yako na wanajimvi wengine hapa!
Halafu wewe ndio huwa wa kwanza kuwaita watu wadini.
Sasa hio alif be tee. Imeingiaje hapa!

Mbona we msabato unakuwa unaharibu sifa ya wasabato?
 

hembu angalia kwenye red. 65 to 90 ya wazanzibar walikuwa watumwa. nimeitoa kwenye ubalozi wa tanzania india(About Tanzania | Tanzania High Commission - New Delhi)

In 1698 a resurgence of Arab influence was realized with the help of Omani Arabs who established a presence on the Island of Zanzibar. In 1840 the Omani Sultan Seyyid Said moved his capital to Zanzibar City and in 1841 Zanzibar became the official seat of the Sultan of Oman where it remained until the beginning of the liberation period.Travellers and merchants from the Persian Gulf and Western India have visited the East African coast since the first millennium. From Zanzibar, trades originating from the interior was factored and controlled, including the lucrative Indian Ocean Slave Trade from which the economy of Zanzibar was largely built. The effect of this revitalization of trade along the east coast was the founding or regeneration of important commercial centers along the coast, including Kilwa, Tanga, Pangani, Kivinje, Lindi and Bagamoyo. Zanzibar became the center for the Arab slave trade.
Between 65 to 90 percent of the Zanzibar Arab-Swahili population was enslaved.
. Slaves were used to carry ivory to the coast but were also required for clove plantations in Zanzibar and in sugar plantations in Mauritius. Other slaves were exported to the Persian Gulf, Europe and Americas.One of the most famous slave traders on the East African coast was Tippu Tip, who was himself the grandson of an enslaved African.
 

Mkuu picha za kuchora hata pale mwenge wanachora!

Na kuongea tu! Kila mtu anaweza kusema ayatakayo!

Wewe unapoweka maandiko kama hayo sio KU COPY NA KU PASTE TU !
unatakiwa uweke na CHANZO KINACHOKUBALIKA KIMATAIFA! na sio ubalozi tu na picha za kuchora!
 
We kilaza nimekuwekea link ya The high commission for the united republic od Tanzania - New Delhi kama source.

We bonyeza utaona na picha ya kikwete ujue ndio taswira ya zanzibar serekali yake imeanika kwa wahindi.
 

siku zote rangi na kabila zinafuata baba, nashangaa hapa kwa waarabu ndio baadhi ya watu mnaanza kuleta utata. Ndio maana watu wanapata kigugumizi kujibu kama huyo sultani qaboos na waomani ni waafrika au la! African is a race just like an Arab, caucasian (mzungu), Asian etc. Kuna ugumu gani kutambua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…