Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Hebu tuondoleeni upotoshaji wa mambo. Kuna utukufu gani kwenye kumwaga damu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wala usijitoe tuendelee kujadiliana watu wengine wapate faida.wapi kuna kizazi cha watumwa weusi ulaya kutoka afrika mashariki? watumwa wa ulaya wametoka afrika magharibi, na visiwa vya carribean huko.
Hivi unakumbuka kuwa kuja afrika ilibidi mzungu azunguke kupitia cape of good hope SA? it simply a question of economics. kwa nini aache watumwa ghana huko, azunguke, aache weusi SA, aache msumbiji aje zanzibar? Hizi si porojo hizi.
Hivi ni wapi huko kwenye historia inayosema watumwa wa tip tip waliuzwa ulaya kama sio uchizi. Mimi huu mjadala najitoa bwana it's beneath me!
Mkuu wala usijitoe tuendelee kujadiliana watu wengine wapate faida.
Wewe toka huu mjadala uanze umejadili nini cha maana zaidi ya kufanya upambe nuksi wa kiswahili...eti tuendelee kujadiliana,,utachangia nini hapa zaidi ya ushabiki wa kwenye bao na karata.
Mkuu picha za kuchora hata pale mwenge wanachora!
Na kuongea tu! Kila mtu anaweza kusema ayatakayo!
Wewe unapoweka maandiko kama hayo sio KU COPY NA KU PASTE TU !
unatakiwa uweke na CHANZO KINACHOKUBALIKA KIMATAIFA! na sio ubalozi tu na picha za kuchora!
Du umenikumbusha mbali, afadhali ya Kilwa, kwa mujibu wa mwandishi, Ibin Batuta, Hasan Bin Amiri alikinunua kisiwa cha Kilwa kwa gharama ya kitambaa kilichozunguka Kilwa yote, yaani there were some exchange of some sort!. Huyu mvamizi Mwarabu dhalimu, aliibaka Zanzibar na kujitwalia kama ameokota, Mapinduzi yale Matukufu yalimtimua mvamizi Mwarabu dhalimu yule na nchi kushikwa na wenyewe!.
Hivyo nyingi ya hizi kelele za kuyapinga Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ni vitimbakwiri masalia tuu ya Mwarabu dhalimu!.
Pasco
Nimeshakwambia hii ni movie mbona hauelewi..
Haya chukuwa hii bayana....Wewe toka huu mjadala uanze umejadili nini cha maana zaidi ya kufanya upambe nuksi wa kiswahili...eti tuendelee kujadiliana,,utachangia nini hapa zaidi ya ushabiki wa kwenye bao na karata.
Ccm kilimpindua mtanganyika na mzanzibr,ndio ukaona huna nchi tanganyika iliyopata uhuru 61
Mkuu Khawarizm.Tupe jina la hiyo movie, kisha tafadhali utembelee pale Zanzibar Archives ukaangalie utakuta picha zaidi ya hizo ila.nakuhadharisha uchukuwe spea chupa ya maji, handkerchief na panadol tablets.
Natanguliza pole sana mdogo wangu. Pasco since upo hapa kwetu tafadhali pata fursa nawe ukatembelee pale na kwa sababu kwa hisani ya SMZ unapata mlo free utakusaidia kurejesha energy baada ya kuziona hizo picha. Na pale makumbusho hata hilo rickshaw utaliona lipo.
Ritz, gombesugu wabara Pasco
Wewe huijui hata hiyo Koran yenu. Isome hapa 40. SURAT GHAAFIR (AU AL MUUMIN). Nyie teyari mmepingwa mhuri nyoyoni mwenu wa kwenda Jehannam. Allah kasema hayo hapa 40. SURAT GHAAFIR (AU AL MUUMIN).
Mkuu Pasco nimekupa ushauri tumia lugha ya stara kwenye huu mnakasha watu wapate kujifunza kitu lugha za kejeli dhiaka wote tunazifahamu usilazimishe tufike huko, siyo mbaya kama utataka hivyo.
Khaa!! Tofauti Ulaya na America ambapo Wafrika waliruhusiwa kuzaana wenyewe kwa wenyewe, Arabuni Wanaume walihasiwa (kwa kukatwa kengele) ila wanawake waliachwa na walitumika kama chombo cha starehe. Wengi wao waliuawa baada yakupata mimba wachache waliachwa na ndiyo kizazi cha nusu uarabu kinachoonekana leo huko.
Movie inaitwa Matumbo...teh teh teh.Atupe jina la movie basi. Kwa taarifa yake aende Zanzibar Archives akaangalie pale kama hakutoka uso mdogo. Teh teh teh
Kwa kukusaidia tuu, TBC nimeondoshwa 2002, Tido kaja pale 2007!. Kwa sasa mimi ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea!. Ukiniona TBC, usidhani mimi ni muajiriwa TBC, ukipata nafasi leo saa 3:00 unaweza kuniangalia TBC, ukikosa kesho saa 1:00 usiku waweza niona ITV, Jumatano Channel Ten, Alhamisi Clouds TV, Ijumaa ZBC, Jumamosi na Jumapili saa 3:00 usiku Star TV!.Ndio maana kule wanakojivunia serikali TBC eti kwenye ukweli na uhakika walimfukuza muungwana Tido Muhando wakaleta kina Pascuali usishangae walimchomea vijiti wao.
Mkuu Pasco.Kwa kukusaidia tuu, TBC nimeondoshwa 2002, Tido kaja pale 2007!. Kwa sasa mimi ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea!. Ukiniona TBC, usidhani mimi ni muajiriwa TBC, ukipata nafasi leo saa 3:00 unaweza kuniangalia TBC, ukikosa kesho saa 1:00 usiku waweza niona ITV, Jumatano Channel Ten, Alhamisi Clouds TV, Ijumaa ZBC, Jumamosi na Jumapili saa 3:00 usiku Star TV!.
Ahasanta.
Pasco.
- Worked at Tanzania Broadcasting Corporation
- Studied at UDSM
- Past: Ilboru High School
- Lives in Dar es Salaam, Tanzania
Hivi unahitaji Hesabu kuelewa lugha hii rahisi?Weye nilimgeiya mwenzio hio tahadhar kwa njia ya suali.
Ama Sura uloitaja kwa aya no. 40 yasema hivi :-
MWENYE KUTENDA UOVU HATALIPWA ILA SAWA NA HUO UOVU WAKE, NA ANAYETENDA WEMA, AKIWA MWANAMUME AU MWANAMKE, NAYE NI MUUMINI, BASI HAO WATAINGIA PEPONI, WARUZUKIWE HUMO BILA YA HISABU.
Sasa kwa upako wako ulikikusudia nini kutufunza hapa...?!
Mwenye hekima huketi kimya lakini -------- huleta majisifu haso maana,
Mwenzio kaona somo lamshkka na kumtatiza kidogo, sasa yampasa kutuliza bongo lake ili ajiregeze darsani ama kwa Mashemasi / Maburuda / Mapadre,
Weye pasi na kuyua nini kategwa mwenzio katika viwango vya ilimu / ufahamu, ndo ukajakurupuka na dalili ulizotoa hapo juu nami kukufanzia raddi.
Ila pumzika na andiko hili : -
TITO 3 : 10
MTU ALIYE MZUSHI, BAADA YA KUMUONYA MARA YA KWANZA NA MARA YA PILI, MKATAE
TITO 3 : 11
UKIJUA YA KUWA MTU KAMA HUYO AMEPOTOKA, TENA ATENDA DHAMBI, MAANA AMEJIHUKUMU HATIA YEYE MWENYEWE.
Ahsanta.
Hivi unahitaji Hesabu kuelewa lugha hii rahisi?
60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.![]()