Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi.
Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa kuuwa wananchi.
Hili somo lieleweke vizuri uchaguzi wowote usio wa kidemokrasia ni mapinduzi kilicho tokea Tanzania ni kama collabo ya jeshi na mwanasiasa na wananchi walio pinga waliuwawa na jeshi na ushahidi upo,
pia kuna baadhi ya taarifa za kuaminika kulikuwa na makundi yenye silaha yasiyo rasmi yalishiriki kufanya mapinduzi na kuuwa raia oct 29.