FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Habari!
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali na vikosi vya Jeshi nchini humo.
Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye!
====
SASISHO: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres amelaani kukamatwa kwa Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita na maafisa wa juu wa serikali chini ya Jeshi lililoasi mnamo Jumanne, akiwataka waachiliwe huru, msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema.
SASISHO: Halmashauri Kuu ya Umoja wa Afrika (African Union Commission) kupitia Mwenyekiti wake Moussa Faki imelaani vikali hatua ya Jeshi la nchini Mali kuwakamata Rais pamoja na Waziri Mkuu wa nchi hiyo katika jaribio la mapinduzi linaloendelea hivi sasa nchini humo.
SASISHO: Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita pamoja na Waziri Mkuu Boubou Cisse wametiwa nguvuni na Vikosi vya Jeshi, kulingana na taarifa kutoka kwa kiongozi wa uasi.
Kukamatwa kwa viongozi hao kumefuatia baada ya Vikosi vya Jeshi kuasi katika kambi ya jeshi ya mjini Kati, mji uliopo kilomita 15 (maili tisa) kutoka mji mkuu Bamako Jumanne asubuhi.
====
DW | Fears of coup in Mali
Shots have been heard at an army base in Kati, just outside the capital, amid an ongoing political crisis in Mali. The situation remains unclear, but news of the gunshots quickly sparked fears of a possible coup attempt.
Gunfire was heard at an army base near Mali's capital Bamako on Tuesday, sparking fears of a possible mutiny in the conflict-torn country. Soldiers took up arms at the military base in Kati, a town 15 kilometers (nine miles) from Bamako, and began arresting senior military officers.
The Economic Community of West African States (ECOWAS) on Tuesday said soldiers had launched a "mutiny" and urged them to immediately return to their barracks.
"This mutiny comes at a time when, for several months now, ECOWAS has been taking initiatives and conducting mediation efforts with all the Malian parties," the 15-nation bloc said in a statement.
A 'volatile' situation
Sources told DW that Colonel Sadio Camara could be behind the military uprising. DW also learned that several high-ranking politicians and officials have been arrested, including the Minister of Finance Abdoulaye Daffe and the chief of staff of the National Guard.
The national radio station ORTM was evacuated. According to ORTM employees, a column of possible putschists is said to be on its way to the station.
DW correspondent Mahamadou Kane, who is in Bamako, said: "At the present time the situation in Kati and Bamako is still very confusing. Panic reigns in both places. It's also not completely clear, whether it is just a mutiny or a military coup."
"More and more people are gathering at Independence Square in support of the government-critical M5-RFP movement that wants to see the resignation of the president and the prime minister Boubou Cisse. They seem to support the military but it remains unclear what the demands of the military are."
"Access to Kati and strategic places in the capital have been blocked for hours. The situation remains volatile," added Kane.
Anti-government protests linked to M5 began in July over what they say are failures to restore security and deal with corruption. At least 14 people have been killed in the recent unrest, according to the United Nations and human rights activists.
The French and Norwegian embassies in the West African country reacted quickly, urging people to stay inside their homes in response to the unrest.
====
More updates to follow!