Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Oktoba kitatokea huku Tanzania tena vuguvugu litaanzia zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaunga mkono, bado Belarus.
Kwani Zanzibar kuna memba wa jeshi lolote halajalipwa mshahara?Oktoba kitatokea huku Tanzania tena vuguvugu litaanzia zanzibar
Thibitisha.Jeshi la Mali linatumika na mabeberu
100% agreed.Good news, Macron and France should keep off Mali and let them sort this on their own peacefully.
Wananchi nyinyi ni mazwazwa tu
Huyu ndiye mwanaume wa Mali.PICHA: Kanali Malick Diaw ambaye ni kiongozi wa Jeshi linaloongoza mapinduzi nchini Mali.
View attachment 1541641
Ila unakumbuka ule uasi waliofanya wanajeshi wa Burundi ukadhibitiwa na Polisi!! Basi Mimi nashindwa vielewa hivi vyombo.Jeshi likiasi 100% HAKUNA chombo kingine cha dola kitanyanyua pua.
Jeshi ndio kila kitu ndio walinzi wa Nchi na KATIBA.
Wananchi wepi?Wananchi tuu wanatosha kuwatoa ccm madarakani.. View attachment 1541512
Yasije kutokea kama kwa Sudani kwa al-bashir,wananchi waliachiwa manyoya mpk leo.Jamaa kashamwaga wino wa kuresign ila bado ni unclear kuwa kati ya Millitary au civilian nani ndo ata take charge ya goverment
Ukiona haujaelewa jua hapo ndipo umeanza kuelewa mkuu.Ila unakumbuka ule uasi waliofanya wanajeshi wa Burundi ukadhibitiwa na Polisi!! Basi Mimi nashindwa vielewa hivi vyombo.
Venance Bagosha Mabeyo. Thubutu! Atamsalitije ndugu?Huyu ndiye mwanaume wa Mali.
Je mwanaune wa Tanzania atakuwa nani ?
Kaa mkao wa kura.
Mapinduzi sio mazuri kivile, Taifa laweza kusambaratika na kutoungana tena milele. Somalia ni mfano.Nashangaa J wee wanafeli wapi sijui
Anaweza hasiwe cdfVenance Bagosha Mabeyo. Thubutu! Atamsalitije ndugu?
AiseeeeAchanganye akili zipi sasa wakati hizo akili zenyewe hana