Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Maneno ya kujipa moyo tuOgopa sana the so called wanyonge wakichoka kuishi kwenye unyonge wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya kujipa moyo tuOgopa sana the so called wanyonge wakichoka kuishi kwenye unyonge wao
Kasema wakitaka uchaguzi mwingine wamuue.Bado wa Belarus. Punde tu naye tutapata habari zake
Kuna kijeba kinasumbua hukuuu wajeda kifyatueni mtama wa Adam Mchomvu.Next
Kuna kijeba kinasumbua hukuuu wajeda kifyatueni mtama wa Adam Mchomvu
Amer_ica u_nitedNext
Wajeda wa 'nchi ya ahadi feki' hawajui contents ya katiba hivyo inawawia vigumu kugundua makosa ya mfalme.Kuna kijeba kinasumbua hukuuu wajeda kifyatueni mtama wa Adam Mchomvu
Jeshi likiasi 100% HAKUNA chombo kingine cha dola kitanyanyua pua.Huwa natamani kujua mengi sana kuhusu mapinduzi ya kijeshi.Hivi wanajeshi wakifanya uasi,vyombo vingine vya dola huwa vina mamlaka ya kudhibiti au wote huwa na lao moja!
Hata mwenzie alileta jeuri kama izo ila mwisho wa siku kawekwa karantini.Kasema wakitaka uchaguzi mwingine wamuue
Jeshi la Mali linatumika na mabeberuHali halieleweki. Wanajaeshi hawajatangaza bado nani yupo in control.
Rais na Waziri Mkuu wameshikiliwa.
Taarifa ya habari ya BBC World Service ya sasa hivi.
Jeshi la Mali linatumika na mabeberu