Mapinduzi ya Kijeshi Mali: Rais Ibrahim Boubacar Keita na Waziri Mkuu Boubou Cisse watiwa nguvuni na Vikosi vya Jeshi

Ndanda kuchele
 
Hii ndiyo Africa bana kila mmoja anafanya kulingana na uwezo wake ,rais
hatian na wazir wake ngoja tuone muda utasema tu
 
Africa hali zinajulikana kina keita na wenzake wamechokwa na wananchi sasa mapinduz ya kijeshi usishangae atakae kuja madarakani pia akapinduliwa japokuwa aliaminika pia ni mkombozi wao this is Africa no one care
 
Rais wa Mali, Ibrahim Boubakar KeΓ―ta na Waziri Mkuu, Boubou CissΓ© wamewekwa chini ya ulinzi na wanajeshi walioasi nchini humo alasiri ya leo.

Jaribio la mapinduzi ya kijeshi ambalo bado linaendelea limeanza ndani ya kambi ya Jeshi nje kidogo ya mji mkuu Bamako.
 
Safi sana kwa madikteta ndivyo inavyotakiwa. Bila hivyo Afrika haitoboi maana yamegeuza nchi kama mali zao binafsi na magenge yao. In short hawakutakiwa hata "kumchelewesha" kupunguza milolongo isiyo na sababu wala tija.
Ukumbuke pia huko kutokumchelewesha Gadaffi kumesababisha nchi imerudi utumwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…