Mapinduzi ya Kijeshi Mali: Rais Ibrahim Boubacar Keita na Waziri Mkuu Boubou Cisse watiwa nguvuni na Vikosi vya Jeshi

Jeshi likiasi 100% HAKUNA chombo kingine cha dola kitanyanyua pua.

Jeshi ndio kila kitu ndio walinzi wa Nchi na KATIBA.
Ila unakumbuka ule uasi waliofanya wanajeshi wa Burundi ukadhibitiwa na Polisi!! Basi Mimi nashindwa vielewa hivi vyombo.
 
Hembu mtu mmoja wa kujitolea hii habari abadilishe tu majina hayo majina mawili makuu aweke ya hapa nyumbani tuone kama iwapo varangati kama hilol ikitokea hapa nchini kwetu habari itanoga au vipi,katika habari hiyo nadhani itapendeza neno JWTZ likionekana sehemu
 
Jamaa kashamwaga wino wa kuresign ila bado ni unclear kuwa kati ya Millitary au civilian nani ndo ata take charge ya goverment
Yasije kutokea kama kwa Sudani kwa al-bashir,wananchi waliachiwa manyoya mpk leo.
 
Ila unakumbuka ule uasi waliofanya wanajeshi wa Burundi ukadhibitiwa na Polisi!! Basi Mimi nashindwa vielewa hivi vyombo.
Ukiona haujaelewa jua hapo ndipo umeanza kuelewa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…