Mapinduzi ya Mijadala JamiiForums: Zana Mpya za Akili Unde (AI) zinakuja Wikendi hii!

Maxence Melo CEO, JF iliyopo sasa iache hivi hivi, sio kuhusu AL, noope ni kwenye mtindo wa utumiaji hasa App.

Nilikua naona shida kutumia ile mpya, ila kwa sasa natumia vyedi ktk chanzo fulani, naswampika tyuuh. Woiiih.
 
Kuna tread kule jukwaa la malalamiko. Utanielewa
Nafurahi App ya JF umeruhusu itumike ktk chanzo fulani, imetulia na ni rahisi mno.

Lakini ulivyo wewe na hao Mods wako, hamkawiii kuyatindinganya, ili tu watu waendelee na app mpyaa hiyo,
Siitaki km nini. Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnafanya vizuri sana lakini mna tatizo Moja kuu la kiusimamizi kwenye hoja za maana na nzutito kama za kiafya, kiuchumi, ujasiriamali, kilimo, vifaa mbalimbali electronics nk .

▪️ Nadhani ya Uzi Kuna wataalam mbalimbali wanaelimisha lakini Kuna wajinga wajinga wanajaza Uzi huo kwa mizaha, kejeli utani na matusi.

🔹 Baada ya Uzi kuwa dormant unabaki kumbukumbu hata miaka 10 ijayo hivyo mtu anavyo search kutafuta information ya jambo kama hilo anakutana na Uzi ulio jaa. mizaha kejeli na kushindwa kuelewa la maana

✝️ Nawashauri muwe mnaondoa takataka na coment za utopolo kwenye mijadala mizito ya elimu, afya kilimo, ujasiriamali , technolojia na sayansi mngeipa thamani na Jf ingekuwa nao ni sourse of credible information
 
Insta, wasap, FB, tik tok nako mnapiga kura?
 
Kwan JF ina memba wangapi Mkuu, tatizo n tunaiona JF n kubwa kwakuwa tupo ndani ya JF ila sio kweli.
Wapi mimi nimeiona JF ni kubwa? wala sijaongelea idadi ya members waliomo humu,

Point yangu ni kwamba,JF haiwezi kuwepo bila members kua active,hata Max analijua hilo ndio maana akaweka huu uzi tutoe maoni yetu,

So,mabadiliko yeyote humu ni lazima tushirikishwe sisi wahusika wakuu ambao ni members wa JF.
 
Anxiously waiting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…