Mapinduzi ya Zanzibar Januari 1964 yalikuwa ni ushindi na neema kubwa kwa Emirate of Dubai

Mapinduzi ya Zanzibar Januari 1964 yalikuwa ni ushindi na neema kubwa kwa Emirate of Dubai

Sitaki kusema. Lolote, sona tafiti ya kisomi nimekuwekea link juu jidogo hapo.

Kama. Hukendi kusoma ingia youtube tafuta ", kwaheri uhuru kwaheri ukoloni" utakikuta kimeongelewa sana hicho kitabu.

Nakushauri pendelea kujisomea.
Kuandika kitabu au upload video u tube sio ndio solution ya jambo kuwa la kweli au la uongo... Hata mimi naweza ku upload video u tube,kuanza kuisema zanzibar au kuandika kitabu kinachoipond uislam, lakin naweza nikawa muongo na kupotosha
 
Wewe inabid utuambie mapinduz ya zanzibar yalifanywa na wakina nani na ilikuwa dini ipi
 
Tukiitazama historia ya Dubai au UAE kwa ujumla, Oman, mwambao wote wa Zanzibar na bandari takriban zote za nchi za mashariki ya kati mpaka India na Asia ya mbali,utakuta kulijuwa na mwingiliano mkubwa wa kibiashara kati yao.

Bila shaka ni historia ndefu sana na ya zamani sana, kwa ufupi, leo tutazame mafanikio na neema kubwa iliyowadondokea Dubai na yalipotokea mapinduzi ya Zanzibar 1964.

Wimbi la awali la wakimbizi wa Zanzibar walianza kumiminika Dubai kati ya mwaka 1964 na 1968, Wazanzibari wengine, kwa mujibu wa data za UNHCR qazanzibari waliendelea kwenda kama wakimbizi baina ya mwaka 1967 mpaka 2013.

Katika miaka hiyo wengi wa watu kutoka Afrika Mashariki nzima wakaanza kumiminika kama wakimbizi Wazanzibari. Sheikh Rashid akaunda kamati ya Wazanzibari, katika wale waliofika mwanzo, waamuwe katika "wakimbizi" wanaokuja Dubai ni wepi Wazanzibari wa kweli wanaostahiki ukimbizi wa Zanzibari. AlhamduliLlah kwa kuwa kulikuwa na mwingiliano mkubwa wa watu wa Afrika mashariki wengi wanzangu na mie wasio na asili ya Zanzibari wskajipatia "status ya ukimbizi". Fsmilis. Nyingu za Dar. Tunafahamiana nao ambao wsliibgianjwente mkumbi huo na siku hizi wameshakuwa raia wa UAE kiuhalali kabisa. (kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.

Kwanini ikawa ni ushindi na neema kwa Dubai? Historia ya Zanzibar inaonesha wazi kuwa Zanzibar wakati wa mapinduzi ilikuwa ni nchi iliyoendelea sana kielimu na kiuchumi kuliko nchi nyingi duniani.

Sheikh Rashid bin Saeed Al Maktoum, ambae ni babu wa Mfalme wa sasa wa Dubai, aliposhauriwa na mshauri wake wa Kiingereza (Duff) kuhusu wakimbizi wa Zanzibar, hakusita kuwakaribisha na kuwapokea kwa nia njema kabisa.

Kwa bahati nzuri kabisa, wakimbizi wengi wa Zanzibar wa wakati huo walikuwa ni wasomi na wataalam wa biashara na siasa za kidunia.

Wasomi na wataalam hao ikawa ni neema kubwa kwa Ufalme wa Dubai. Ufalme wa Dubai ukajipatia washauri, wafanyakazi na wataalaam mbali mbali wenye utamaduni unaofanana kabisa na wao.

Wazanzibari hao hawakuliangusha jina la Zanzibar, walifanya kazi na biashara zao na. walishauri serikali ya Dubai kwa uaminifu kabisa.

Mapinduzi ya Zanzibar kisiasa yalizaa pia mapinduzi ya kiuchumi Dubai, yenye neema kubwa sana kwa Dubai. "Kufa kufaana".

Itaendelea kidogo kidogo kwa mtindo wa maswali na majibu.

Yeyote anaweza kuongezea nyama kwenye upungufu. Yeyote anaweza kuuliza yanayohusiana na hii mada.
Una undugu na Mzee Mohamed Said ?
 
Safi. Nimeuliza kwasababu wote mna udini.
Kwa "udini" kama unamaanisha Uislam, mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu , sana tena sana.

. Wewe kama huna dini, mimi nakushauiri uwe Muislam. Unafahamu maana ya neno Muuslam?
 
Kama muislam nduguye ni muislam, kwann serikali ya mapinduzi ya zanzbar ilikuwa inawanyanyasa waislam wenzao, mpka wakakimbilia bara na dubai..
Kasome kitabu nilichokuwekea link hapo juu kidogo, utapata majibu. Usiwe mvivu wa kujisomea.
 
Kasome kitabu nilichokuwekea link hapo juu kidogo, utapata majibu. Usiwe mvivu wa kujisomea.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]... Haya bana madam.... Umeogopa maswali yangu...
 
Kufuatia mlolongo na mfululizo wa Nyuzi za mkataba kati ya Tanzania na Dubai, na mada hii;na zile zingine za FaizaF alizozileta utaona kuna Ukinzani na utaona pia sababu nyingi halali za kuhoji makusudio,matamanio au azma kuu ya makubaliano yaliyoingizwa, kati ya Tanzania na Dubai mbali na yale ya Kiuchumi!

Uzi huu au mada iliyopo juu hauondoi au kubadilisha mashaka na wasiwasi unaozunguka Mkataba huo, wala kufuta migawanyiko inayotambulika na inayohusiana na Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.....bali kusimika sintofahamu zilizoibuliwa, zilizopo na zinazoibuliwa.

Tuwe makini, kumbe wengine wanaweza kimbilia Oman, Dubai na kwingineko!
 
Kwa "udini" kama unamaanisha Uislam, mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu , sana tena sana.

. Wewe kama huna dini, mimi nakushauiri uwe Muislam. Unafahamu maana ya neno Muuslam?
Wewe bibi usilete ujanja wa mbuzi kujambia mdomo.
 
Kuandika kitabu au upload video u tube sio ndio solution ya jambo kuwa la kweli au la uongo... Hata mimi naweza ku upload video u tube,kuanza kuisema zanzibar au kuandika kitabu kinachoipond uislam, lakin naweza nikawa muongo na kupotosha
Speech,
Katika vitabu vyote vya historia ya Zanzibar kitabu hiki kimeeleza mengi ambayo vitabu vilivyotangulia havikuandika.

Katika hayo ni mpango wa kupindua serikali ya Zanzibar kwa kuwatumia Wamakonde kutoka Kipumbwi.

Waliohusika na kambi ya Kipumbwi wameeleza kila kitu ndani ya kitabu hicho.
 
Sawa mzee wangu nimekuelewa...
 
Kufuatia mlolongo na mfululizo wa Nyuzi za mkataba kati ya Tanzania na Dubai, na mada hii;na zile zingine za FaizaF alizozileta utaona kuna Ukinzani na utaona pia sababu nyingi halali za kuhoji makusudio,matamanio au azma kuu ya makubaliano yaliyoingizwa, kati ya Tanzania na Dubai mbali na yale ya Kiuchumi!

Uzi huu au mada iliyopo juu hauondoi au kubadilisha mashaka na wasiwasi unaozunguka Mkataba huo, wala kufuta migawanyiko inayotambulika na inayohusiana na Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.....bali kusimika sintofahamu zilizoibuliwa, zilizopo na zinazoibuliwa.

Tuwe makini, kumbe wengine wanaweza kimbilia Oman, Dubai na kwingineko!
Syll...
Baada ya nchi mbalimbali za Kiafrika kupata Uhuru Mwarabu yupi aliweza kuyaingilia mambo ya ndani ya nchi za Kiafrika kama Mabeberu wanavyofanya?

Sijawahi kuziona ghadhabu hizi za DPH kuonyeshwa mtawala wa Kiengereza au mbabe wa sasa wa Dunia Marekani.
 
View attachment 2665193
1960's Dubai Creek, walivyoikuta wakimbizi wa mwanzo mwanzo kutokea Zanzibar 👆🏾

View attachment 2665195
1980's Dubai Creek, wakimbizi wa Zanzibar bega kwa bega wakichangia maendeleo ya Dubai👆🏾

View attachment 2665293
1990's Dubai, wakimbizi wa kutokea Zanzibar kwenye 60's wengi wao wamezeeka, watoto na wajukuu wakaendelea kuijenga Dubai kama nyumbani kwao, wengi wakazaliwsma hapo. Cha kufurahisha, wazee wao hawakuwacha kuwarithisha lugha mila na desturi za Kizanzibari.
Walitoka Oman, wakavamia Zanzibar, wakapinduliwa na Wazanzibar wakarudi Oman walipotokea.
Kuna swali hapo?
 
Sawa mzee wangu nimekuelewa...
Syll...
Hiyo picha hapo chini ni ya Mohamed Omari Mkwawa mwanamapinduzi wa ASP.

Mkwawa yeye ndiye alikuwa akiwavusha Wamakonde kutoka Kipumbwi wamevaa kama wavuvi na wakifika Zanzibar wanahifadhiwa tayari wakisubiri siku ifike.

Hawa Wamakonde ndiyo waliua Waarabu wengi sana mashamba.

Picha hii nimempiga ndani ya kwake katika siku zake za mwisho za maisha yake.
Hii si nyumba bali ni banda la kuku.

Alinisikitikia hali yake akasema, ''Mohamed bbada ya mimi kufanya yote yale katika mapinduzi ya Zanzibar leo mimi naishi ndani ya banda la kuku nililosaidiwa na ndugu zangu.''

Haukupita muda mrefu Mzee Mkwawa akafariki.

1687450472923.jpeg
 
Back
Top Bottom