Mapinduzi ya Zanzibar Januari 1964 yalikuwa ni ushindi na neema kubwa kwa Emirate of Dubai

Mapinduzi ya Zanzibar Januari 1964 yalikuwa ni ushindi na neema kubwa kwa Emirate of Dubai

Naunga mkono hoja.

Tarehe kama ya leo 11/01/1964 miaka 60 iliyopita, ndio Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalifanyika!. Alfajiri ya Tarehe 12 Januari, 1964 ilikuwa ni kutangazwa tuu!.

Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Paskali
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Wazanzibari wengi kwanza kabisa walikimblia Mombasa Kenya na baadhi yao Dar es Salaam Tanzania.

Baada ya hapo wakaanza kuondoka na kukimbilia Dubai, Oman, Kuwait, Comoros na Europe. Na nchi zingine kwa uchache.

Sababu kubwa ikiwa ni kubaguliwa na kunyanyapaliwa.
Unamaanisha wapemba(shombe shombe wale) sindio
 
[emoji2][emoji2][emoji2].. ila toka zaman zanzbar inaziadi ya aslimia 90 ni wa islam, inakuaje waweze kunyanyapaliwa na asilimia ndogo sana ambao sio waislam....
Huyo anaitwa Faiza Fix.
 
Hayahusiani na hii mada,lakini, kwanza hywa siweki neno "su".

Hizo sentensu zipo mbili za Kiswahili, moja ya English zenye maana zinazofanana. Hutumia mojawapo kutegemea na maudhui.

1) Hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?

2) Hakika shuleni ulienda kusomea ujinga.

3) You're an uneducated fool from an uneducated school.

Turudi kwenye mada.
Fatuma nimekuelewa
 
Wazanzibari wengi kwanza kabisa walikimblia Mombasa Kenya na baadhi yao Dar es Salaam Tanzania.

Baada ya hapo wakaanza kuondoka na kukimbilia Dubai, Oman, Kuwait, Comoros na Europe. Na nchi zingine kwa uchache.

Sababu kubwa ikiwa ni kubaguliwa na kunyanyapaliwa.
Usipindishe maneno,sema tu walikuwa wanaukimbia mkono wa karume bas.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Syll...
Hiyo picha hapo chini ni ya Mohamed Omari Mkwawa mwanamapinduzi wa ASP.

Mkwawa yeye ndiye alikuwa akiwavusha Wamakonde kutoka Kipumbwi wamevaa kama wavuvi na wakifika Zanzibar wanahifadhiwa tayari wakisubiri siku ifike.

Hawa Wamakonde ndiyo waliua Waarabu wengi sana mashamba.

Picha hii nimempiga ndani ya kwake katika siku zake za mwisho za maisha yake.
Hii si nyumba bali ni banda la kuku.

Alinisikitikia hali yake akasema, ''Mohamed bbada ya mimi kufanya yote yale katika mapinduzi ya Zanzibar leo mimi naishi ndani ya banda la kuku nililosaidiwa na ndugu zangu.''

Haukupita muda mrefu Mzee Mkwawa akafariki.

Daah kumbe ndio huyu mzee, na wenzake akina j.j Mchingama, akina Victor mkello daah.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2].. ila toka zaman zanzbar inaziadi ya aslimia 90 ni wa islam, inakuaje waweze kunyanyapaliwa na asilimia ndogo sana ambao sio waislam....
Iko hivi, baada ya mapinduzi karume alikalia kiti cha urais visiwani had muungano unafanyika bado karume ni rais visiwani.

Sas kulikuwa na kundi la wasomi pale Zanzibar ambao baadhi walitoka na karume ktk harakat zote za mapinduzi na wengine waliingia baadae.

Karume hakusoma na ile afro Shiraz youth league ilijaa vijana ambao hawakusoma watu kama kaujore n.k

Hvo mzee wa bara akatumia nafasi hyo kumshawishi karume awaondoe wasomi Zanzibar, akimwambia "wewe hukusoma hvi unadhani hawa watakubari kuongozwa na mtu aambae hajasoma? Lzm watakupindua."

Wasomi wakaanza kupotezwa watu km akina habibu Hanga, salehe Sadalla akida, twala, mdungi usi n.k. hao baadhi ila wengi sn walipotezwa, akina othman sharif.

Karume hakuchukia wasomi pekee yake,yeye mtu yeyote aliekuw anampinga alimpeleka jongomeo, hvo watu wengi sana waliikimbia Zanzibar kwa 7bu hzo, waislamu wanaihama Zanzibar kwa sababu ya kumkimbia muislamu anayeongozwa na mroma huku bara.

Hvo kunyanyapaliwa kwa asilimia kubwa ya waislamu kulikuwa kunaletwa na asilimia kubwa (sio ndgo km ulivosema) ya wasio waislamu kutoka bara.

Hapo ushajibiwa lbd uwe na kichwa kigumu tu kuelewa.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom