Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFUNaunga mkono hoja.
Tarehe kama ya leo 11/01/1964 miaka 60 iliyopita, ndio Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalifanyika!. Alfajiri ya Tarehe 12 Januari, 1964 ilikuwa ni kutangazwa tuu!.
Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Paskali
Unamaanisha wapemba(shombe shombe wale) sindioWazanzibari wengi kwanza kabisa walikimblia Mombasa Kenya na baadhi yao Dar es Salaam Tanzania.
Baada ya hapo wakaanza kuondoka na kukimbilia Dubai, Oman, Kuwait, Comoros na Europe. Na nchi zingine kwa uchache.
Sababu kubwa ikiwa ni kubaguliwa na kunyanyapaliwa.
Huyo anaitwa Faiza Fix.[emoji2][emoji2][emoji2].. ila toka zaman zanzbar inaziadi ya aslimia 90 ni wa islam, inakuaje waweze kunyanyapaliwa na asilimia ndogo sana ambao sio waislam....
Fatuma nimekuelewaHayahusiani na hii mada,lakini, kwanza hywa siweki neno "su".
Hizo sentensu zipo mbili za Kiswahili, moja ya English zenye maana zinazofanana. Hutumia mojawapo kutegemea na maudhui.
1) Hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
2) Hakika shuleni ulienda kusomea ujinga.
3) You're an uneducated fool from an uneducated school.
Turudi kwenye mada.
Usipindishe maneno,sema tu walikuwa wanaukimbia mkono wa karume bas.Wazanzibari wengi kwanza kabisa walikimblia Mombasa Kenya na baadhi yao Dar es Salaam Tanzania.
Baada ya hapo wakaanza kuondoka na kukimbilia Dubai, Oman, Kuwait, Comoros na Europe. Na nchi zingine kwa uchache.
Sababu kubwa ikiwa ni kubaguliwa na kunyanyapaliwa.
Mapinduzi yale hkn mwenye asili ya Zanzibar alieshriki,km yupo mtaje.Lakin mapinduzi yalifanywa na vyama vyao kama ACP na ZPPP.... Na sio tanganyika
Daah kumbe ndio huyu mzee, na wenzake akina j.j Mchingama, akina Victor mkello daah.Syll...
Hiyo picha hapo chini ni ya Mohamed Omari Mkwawa mwanamapinduzi wa ASP.
Mkwawa yeye ndiye alikuwa akiwavusha Wamakonde kutoka Kipumbwi wamevaa kama wavuvi na wakifika Zanzibar wanahifadhiwa tayari wakisubiri siku ifike.
Hawa Wamakonde ndiyo waliua Waarabu wengi sana mashamba.
Picha hii nimempiga ndani ya kwake katika siku zake za mwisho za maisha yake.
Hii si nyumba bali ni banda la kuku.
Alinisikitikia hali yake akasema, ''Mohamed bbada ya mimi kufanya yote yale katika mapinduzi ya Zanzibar leo mimi naishi ndani ya banda la kuku nililosaidiwa na ndugu zangu.''
Haukupita muda mrefu Mzee Mkwawa akafariki.
Iko hivi, baada ya mapinduzi karume alikalia kiti cha urais visiwani had muungano unafanyika bado karume ni rais visiwani.[emoji2][emoji2][emoji2].. ila toka zaman zanzbar inaziadi ya aslimia 90 ni wa islam, inakuaje waweze kunyanyapaliwa na asilimia ndogo sana ambao sio waislam....