Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Google utapata historia yake just type John Okello
 
Ngoja waje unataka kujua jinsi alivyo mchuviding..naniliuu nii!
 
Okelo ndiye aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar siyo Karume. Historia imechakachuliwa na watawala ili kumpa ujiko Karume kwakuwa Okelo hakuwa mzawa. Baada ya kufanikiwa kupindua wakamtimua na kumpa ujiko Karume kuwa ndiye alikuwa kiongozi wa mapinduzi hayo. Usisahau kuwa Karume naye asili yake ni Malawi
 

Kweli historia inakawaida ya kujirudia, kumbe hizi ndio tabia za Wazanzibari, wanapenda mtu mwingine awafanyie kazi wao wale tu basi and then waje wajisifu kua wamefanya wao, barabara, umeme, mishahara ya viongozi wao na pesa za kuhudumia Wazenji zote zinatoka bara, mara baada ya mambo kua mazuri sasa wanadai wajitenge, kisa tu eti vipimo vya kijiolojia vinaonesha Zanzibar kuna mafuta! Sijui kwanini hawa watu hua hawana shukurani.
 
ngojea Shariff Ritz aje atuwekee historia ya huyu mzee wetu...
 
Last edited by a moderator:

Hamjui mnaloliongea. tafuteni vitabu msome msitegemee stori za vijiweni.
 

Taarifa yako sio sahihi,na imejaa uongo ambao hauvumiliki na hata mtoto ndogo.Tujiulize kidogo tu kwamba inawezekana vipi,mtu atoke kwao uganda usiku wa kuamkia tarehe 12 1 64,afanye mapinduzi bila kuwa na mipango au kushirikiana na wenyeji?
Alikwendaje Radio Zanzibar kutangaza mapinduzi?
Alipegaje picha na Waanzilishi wa Mapinduzi.
Alijuaje vituo vya jeshi la mwarabu.
Alijuaje uimara na udhaifu wa jeshi la mwarabu.
Alimtangazaje Karume kuwa rais.
Na kadhalika na kadhali.
 
Alikuwa ni Mzee wa mikwara Mbuzi na fulu muongo na mzushi kuwa aliwapindua wazungu kuipatia zanzibr uhuru
 

Ukitaka kijua historia ya John Okelo na historia ya mapinduzi ya Zanzibar soma hichi kitabu http://kwaheri.files.wordpress.com/2010/05/kwaheri-ukoloni-kwaheri-uhuru.pdf, katika kitabu hichi utapa ufafanuzi wapi John Okello katokea na wapi kafia na kwanini alijitanganzi kuwa yeye ndio jemedari wa mapinduzi ya zanzibar

Unajua watanzania tuna tabia ya kubwabwaja mambo bila ya kufanya utafiti, humu katika JF wana jamvi watatoa stori na hisia tafauti bila hata ya kufanya utafiti kuhusu hilo jambo..

Soma hicho kitabu utafaidika sana mkuu,just download hiyo PDF files,enjow the show wangu...
 
Mnapoongelea kuhusu Ernesto Che Guevara na John Okello, munanikumbusha mbali sana kuhusu wana mapinduzi mashuhuri. Tuwakumbuke vilevile akina Ho Chin Minh (uncle Ho). Ebu rejeeni hii video kutoka youtube hapo chini ili muone who was incharge mara baada ya mapinduzi ya Januari 1964.

 
Last edited by a moderator:
kwanini akina sheikh AMEIR BIN JUMA na wenzake wasiwe baba wa taifa wa Tanganyika baada ya kupigania uhuru kwa nguvu zote na gharama kwamiaka yote kumuondoa mkoloni wa kiingereza, hatimae he is been deported to Zanzibar without any reason.
 
Mwanamapinduzi John Okello kama ijulikanavyo katika Historia kwamba ndiye aliye ongoza kikundi kidogo cha Makamanda na kuipindua serikali ya Sultan Jemshid huko Zanzibar. Lakini, cha kushangaza huyu Mkombozi aliishia kufukuzwa Zanzibar...
 
Mwanamapinduzi John Okello kama ijulikanavyo katika Historia kwamba ndiye aliye ongoza kikundi kidogo cha Makamanda na kuipindua serikali ya Sultan Jemshid huko Zanzibar. Lakini, cha kushangaza huyu Mkombozi aliishia kufukuzwa Zanzibar...

Alipotelea mikononi mwa Field Marshal Idd, DSO, The conquerer of British Empire!
 
Huyu bwana alipotoka uganda alikwenda Kenya kama kawaida yake (ana itikadi za che -gwevara)akaend kusaidia mapambano dhidi ya wakoloni.baada ya kufanikiwa wakamtupa lipango kisha wakamtimua. Baada ya mapinduzi ya zanzibar inasemekana utawala wa kenya ukamwambia mwalimu kuwa huyo jamaa ni hatari hafai kuwepo zanzjbar hapo akapewa n persona granta-mtu asiyetakiwa zanzibar ndo akasepa
 
...nahisi alikumbwa na masaibu makubwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…