Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Kitabu kiko biased sana kuna vitabu vingi Vya rejea kukupa ukweli. Wote wanaojifanya wanamapinduzi wanapepeta madomo tu. Mchango wa okelo ni mkubwa
 
Sasa kama hicho kitabu kinataja waliopigana vita ya maneno halafu hakimtaji yeye aliyeingia vitani physically kuna haja gani ya kukiamini... Kiko biased

City Owl,
Hapo chini ni mazungumzo nilifanya na Vijana wa Kiislam Chuo Kikuu Cha Dar
es Salaam mwaka wa 2009.

Nilikieleza kitabu cha Dr. Harith Ghassany ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru,'' kwa
mukhtasari:
HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA KITABU CHA KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU



Huyo hapo juu ni Mohamed Omar Mkwawa aliyekuwa akiwavusha mamluki wa Kimakonde
kutoka Kipumbwi kwenda Zanzibar katika matayarisho ya mapinduzi​
| Mohamed Said
 
Last edited:
Kitabu kiko biased sana kuna vitabu vingi Vya rejea kukupa ukweli. Wote wanaojifanya wanamapinduzi wanapepeta madomo tu. Mchango wa okelo ni mkubwa
Habi Alex,
Itakuwa vizuri kama utaeleza mchango wa Okello.
 
Yericko,
Lete ushahidi kwa hayo unayosema.
Nitajie majina ya viongozi wa hayo makundi na historia zao kwa ufupi.

Umma Party hakuna hata mmoja katika wao aliyekuwa na ujasiri wa kuandika
kuhusu mapinduzi.

Hadi leo huu mwaka wa sita hakuna hata mmoja wao katika Umma Party aliyepata
ujasiri hata wa kufanya pitio la kitabu cha Dr. Ghassany.

Iko siku nilishinda siku nzima na Abdulrahman Babu nikiwa na Ahmed Rajab London
na nilimuuliza mengi kuhusu mapinduzi.

Sikupata chochote kipya ambacho sikuwa nakijua.

Chuo Kikuu Cha Zimbabwe kilimpa Babu nafasi na ofisi Harare akae aandike kuhusu
mapinduzi.

Alikwenda kuiona hiyo ofisi mara moja na hakurudi tena.
Angekuwa kweli Okello ana uwezo huo asingefukuzwa Zanzibar kama mbwa.

Yericko,
Wewe hodari sana wa kuiba maneno ya watu wengine.
Ushalibeba la Kipumbwi limekuwa lako.

Hebu tueleze toka lini umejua habari za Kipumbwi ilhali hii ilikuwa siri kubwa hadi
ilipofichuliwa na Dr. Ghassany katika kitabu chake mwaka wa 2010?
 
Yericko,
Babu hakwenda kuomba silaha Algeria.
Hicho ndicho ninachosema zile bunduki hazikuwasili Zanzibar.

Wala Okello hakuwa na jeshi.

Lakini ikiwa unapenda kueleza mambo ambayo hayakuwapo
siwezi kukuzuia.
 
Ni lazima tu hamna jinsi kazima uandikwe okelo.yeye ndie aliegawa silaha 854 kwa watu wasiojua kutumia silaha ambao hata mtu akiwa amejisalimisha walimuua kinyume na tamko la umoja wa mataifa lilopitishwa kala ya hayo mapinduzi
 
Ni lazima tu hamna jinsi kazima uandikwe okelo.yeye ndie aliegawa silaha 854 kwa watu wasiojua kutumia silaha ambao hata mtu akiwa amejisalimisha walimuua kinyume na tamko la umoja wa mataifa lilopitishwa kala ya hayo mapinduzi


Wanamajlis,
Hebu angalieni na hii:
HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA KITABU CHA KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU | Mohamed Said
 
Last edited:
Phillemon Mikael,
Soma kitabu, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru,'' cha Dr. Harith Ghassany.
Kipo hapa mtandaoni:
https://kwaheri.files.wordpress.com/2010/05/kwaheri-ukoloni-kwaheri-uhuru.pdf
 
Waungwana mmoja kati ya wale viongozi wa juu wa iliyokua ASP wakati wa matayarisho hadi mapinduzi yanafanyika si bado yupo hai pale mjimwema mafichoni Mzee Aboud MWINYI JUMBE . Mtafuteni awapeni undani wake siyo watu mnazunguka humu kutoana macho.
 
Last edited:
Waungwana mmoja kati ya wale viongozi wa juu wa iliyokua ASP wakati wa matayarisho hadi mapinduzi yanafanyika si bado yupo hai pale mjimwema mafichoni Mzee ABDUL MWINYI JUMBE . Mtafuteni awapeni undani wake siyo watu mnazunguka humu kutoana macho.
Chakochangu,
Aboud Jumbe
hakuwa anajua lolote katika mipango ya mapinduzi.
Haya yako katika kitabu cha Harith Ghassany:

''Amekiri Mzee Jumbe katika kitabu chake The Partner-ship: Tanganyika Zanzibar Union: 30 Turbulent Years pale alipoandika kwenye kurasa 9–10 kuwa “ijapokuwa nilikuwa Katibu wa Mipango wa chama cha Afro-Shirazi, sikujuwa vizuri [kuhusu Mapinduzi] asubuhi ya tarehe 12 Januari 1964. Ilikuwa ni siri iliyohifadhiwa vizuri ambayo ilifahamika na uongozi wake [Karume] tu.'' (Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru uk.23).
 
Last edited:

Mungwana vipi hicho kitabu cha Mzee Jumbe kipo nacho online?
Hicho H Ghassany ninacho pdf , ila sijakisoma chote.
 
kuna mashujaa wa Mapinduzi mzee, karume alikuwepo tu kama karume na hakushika hata rungu, John Okelo japo wanampotezea ila atabaki kua kiongozi mkuu wa mapinduzi yale.
 
Field Marshall John Okello.
Hili jitu halitafutika Zanzibar hata iwejee

Huo mnara kama kweli ni wakimapindizi basi angalau waweke Picha ya huyo zaidi ya Komandoo yaani Field Marshal. Itakua wamemtandeha haki japo kiduchu.
 
 


laana itawaandama akina nani mkuu?
 
weka link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…