hicho kitabu cha Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha kwa kweli ni pumba tupu, kina faa kabisa kuchomwa moto hadharani.Niliwaonyesha watazamaji baadhi ya vitabu muhimu vya historia ya Zanzibar pamoja na kitabu, ''Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha,'' kitabu ambacho nilisema mwandishi Minael- Hosanna O. Mdundo amepotosha mambo mengi.
hicho kitabu cha Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha kwa kweli ni pumba tupu, kina faa kabisa kuchomwa moto hadharani.
Dos,hicho kitabu cha Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha kwa kweli ni pumba tupu, kina faa kabisa kuchomwa moto hadharani.
Kinachosangaza sana ni kule kuona watanganyika wakikasirika sana pale nchi za magharibi zinapoingilia mambo ya ndani ya nchi. Wakati huo huo Tanganyika ikiwa kinara cha kuingilia masuala ya siasa za Zanzibar bila ya hata aibu.Katika muktadha huu niliwarejesha tena watazamaji kwenya kumbukumbu za Aman Thani aliposema kuwa hayakuwa ''mapinduzi,'' bali mavamizi.
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar
Video ikimwonesha Okello,Karume na Babu masaa machache baada ya Mapinduzi
Ni Mapinduzi Matukufu ya Tanzania Visiwani maana naona mnachanganya sana kule Tanganyika mnaweka Tanzania Bara, sasa kwanini sio Mapinduzi Matukufu ya Tanzania ya Viwanda!Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Kazi Iendelee!.
Paskali
Ni Mapinduzi Matukufu ya Tanzania Visiwani maana naona mnachanganya sana kule Tanganyika mnaweka Tanzania Bara, sasa kwanini sio Mapinduzi Matukufu ya Tanzania ya Viwanda!
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Kazi Iendelee!.
Paskali
Jina la Tanganyika ndio lilikufa likageuka, Tanzania Bara, lakini jina la Zanzibar lilibaki, hivyo Tanzania Visiwani ni Tanzania Zanzibar.Ni Mapinduzi Matukufu ya Tanzania Visiwani maana naona mnachanganya sana kule Tanganyika mnaweka Tanzania Bara, sasa kwanini sio Mapinduzi Matukufu ya Tanzania ya Viwanda!
Kuna utukufu wa aina nyingi, kuna utukufu wa Mungu, na utukufu wa dunia hii. Mfano Ikulu ni mahali patakatifu, hivyo mkaaji wa mahali patakatifu ni mtakatifu hadi kuitwa Mtukufu Rais, Bunge Tukufu, etc.Pascal , matukufu kwani utukufu Si wa Mungu Tu PelΓ© yake au katika Ukristo chochote kinaweza kuwa kitukufu?
Jina la Tanganyika ndio lilikufa likageuka, Tanzania Bara, lakini jina la Zanzibar lilibaki, hivyo Tanzania Visiwani ni Tanzania Zanzibar.
P
Kuna utukufu wa aina nyingi, kuna utukufu wa Mungu, na utukufu wa dunia hii. Mfano Ikulu ni mahali patakatifu, hivyo mkaaji wa mahali patakatifu ni mtakatifu hadi kuitwa Mtukufu Rais, Bunge Tukufu, etc.
PNeno "Matukufu" Katika Mapinduzi ya Zanzibar, Lilitoka Wapi, na Yana Utukufu Gani?!,
Wanabodi, Tumezoa kusikia neno "Matukufu" kila yanapotajwa Mapinduzi ya Zanzibar ya January 1964, Jee neno hili, Matukufu, lilitokea wapi na lina maana gani kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na kama ni kuhusu utukufu wa Mapinduzi hayo, Jee Mapinduzi ya Zanzibar yana utukufu gani hadi...www.jamiiforums.com
Sorry mimi sio Mwalimu.Heby tupe maana ya utakatifu
Sorry mimi sio Mwalimu.
P
Hilo ni jina, waandishi tunatumia majina kama yalivyo bila kuhitajika kujua maana yake, hivyo ukijitambulisha unaitwa Jagina, tunakuita Jagina, bila kujali maana ya Jagina. Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Basi usitumie neno usilolijua maana yake
Ndiyo mkatawaliwa Na wanawake ππππHilo ni jina, waandishi tunatumia majina kama yalivyo bila kuhitajika kujua maana yake, hivyo ukijitambulisha unaitwa Jagina, tunakuita Jagina, bila kujali maana ya Jagina. Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Hata hivyo niliwahi kuuliza humu,
PNeno "Matukufu" Katika Mapinduzi ya Zanzibar, Lilitoka Wapi, na Yana Utukufu Gani?!,
Wanabodi, Tumezoa kusikia neno "Matukufu" kila yanapotajwa Mapinduzi ya Zanzibar ya January 1964, Jee neno hili, Matukufu, lilitokea wapi na lina maana gani kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na kama ni kuhusu utukufu wa Mapinduzi hayo, Jee Mapinduzi ya Zanzibar yana utukufu gani hadi...www.jamiiforums.com
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Kazi Iendelee!.
Paskali
Hilo ni jina, waandishi tunatumia majina kama yalivyo bila kuhitajika kujua maana yake, hivyo ukijitambulisha unaitwa Jagina, tunakuita Jagina, bila kujali maana ya Jagina. Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, yanaitwa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.