Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tu ilivyo kwa kina Mshume Kiyate, Abdulwaheed Sykes n.k
Maamumuma mnatafuta Nini hukumada kama hizi huanzishwa na watu wajinga wenye udini ndani yake.
Huyu kufungwa kwake ni sababu za kiusalama tu. Yaan alikuwa akiwa katika nchi yako basi raisi anapoteza amani kwani at any time chochote chaweza tokea. Yaan alikuwa specialist wa mapinduzi. Labda tusema alikuwa Guevara wa Africa
Kwamba MAPINDUZI hayakujali DINI yalijali TAIFA.Mh! Sasa mjadala hapa ni mapinduzi au dini? Sijaelewa.
Tundu Lissu alipowasilisha hoja yake, iliyosemekana imemtukana Nyerere, wakati wa Bunge Maalum la Katiba, alikuwa ameshika kitabu mkononi anakinukuu. Jee, unakijuwa hicho kitabu? Jee, umeshakisoma hicho kitabu?
Kwa kukurahisishia fata link: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...yaandikwa-kwa-heri-ukoloni-kwaheri-uhuru.html
ahsanta sanaaaaa
Kuna so many Untold story Kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar ambazo zinafichwa Na kuchakachuliwa ili kuficha ukweli. Mapinduzi hayo yaliyomng'oa Sultan Jamshid bin Abdullah yalibuniwa, kuasisiwa Na kutekelezwa Na John Gideon Okello Kama Kijana aliyejinatisha Kwenye vuguvugu la Afro Shirazi akiwa Na Umri wa Miaka 27 tu wakati huo. Okelo ambaye alizaliwa 1937 mwaka ule wa Mapinduzi 1964 alipata miaka 27tu imargine. ......Tufanye mistaarafu Za Dini zetu pasipo kuchokonoa misingi ya utawala wa Kijamhuri.
Naunga mkono hoja
Ni askari wa kukodiwa.
Alifanya kazi alo tumwa na ujira wake kalipwa akaondoka.
Hawezi kuwekwa kwenye history.
Alitumwa na kupewa msaada kwa niaba ya kanisa na nyerere akafanya mauaji mpaka akashiba.
Siku moja ulikua mkutano wa hadhara akihutubia Okkelo ilikua mwezi wa Ramadhani na watu wamefunga basi mkutano ule ulivuka mpaka wakati wa kufuturu na wakati ule lazima uende kwenye mikutano yao wavamizi.
Basi mtu mmoja mzee pembeni akawa analalamika kwa kumwambia mwenzie hawa hawajali kuwa sisi tumefunga hata kupika futari bado na time kufuturu tayari basi hawana huruma hawa? Pembeni kuna askari wa uvamizi akasikia akaanza kumpiga mateke yule mzee ikawa zogo Okkelo akauliza kuna nini huko nyuma yule askari wa uvamizi akasema huyu anasema mnawatesa wanataka kufuturu...Okkelo akaamuru aletwe mbele ya high table na Okkelo akamtandika bakora Mpemba yule mzee wa miaka 65 tangu analia mpaka anakoroma na kukata roho pale pale mbele ya hadhara ....juu ya meza ta wavamizi..
Watu walirudi nyumbani hakuna aloweza kula kila mtu alikmlaani karume na okkelo ..leo tunaita matukufu....

Kijiwe gani cha bao na gahawa kina simulizi hizi?Siku moja ulikua mkutano wa hadhara akihutubia Okkelo ilikua mwezi wa Ramadhani na watu wamefunga basi mkutano ule ulivuka mpaka wakati wa kufuturu na wakati ule lazima uende kwenye mikutano yao wavamizi.