Matojo Cosatta
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 234
- 390
- Thread starter
- #121
Tunataka vifungu vya sheria Kama hivi. Hongera sana mleta maada. Sio watu mnabishana Mambo ya kisheria halafu hamna kifungu chochote mlicho note
Asante sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka vifungu vya sheria Kama hivi. Hongera sana mleta maada. Sio watu mnabishana Mambo ya kisheria halafu hamna kifungu chochote mlicho note
Ukisharidhia mkataba wa kujiunga na mahakama ya afrika lazima ukubaliane na mahamuzi yanayotolewa na mahakama hiyo.Mimi sijui naomba unielimishe kuhusu bindingness nature na execution ya hukumu ya Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika.
Je serikali ya Tanzania ikikataa kuheshimu hukumu ya Mahakama ya Haki za binadamu inaweza kuchukuliwa hatua gani za kisheria?
Naomba unielimishe kuhusu haya maswala mawili.
MAPINGAMIZI HALALI KISHERIA DHIDI YA MGOMBEA NAFASI YA URAIS.
Wiki ijayo tarehe 26 August, 2020 itakuwa ni siku ya wagombea kuwasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mapingamizi halali kisheria anayoweza kuwekewa mgombea wa nafasi ya Urais kwa mujibu wa masharti ya ya Kifungu cha 35 D na 40 (1) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura 343 yakisomeka kwa pamoja na (read in tendem with) masharti ya Kanuni ya 39 (4) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge, 2020 (Tangazo la Serikali Na. 402 la 2020) ni haya yafuatayo;
(1) Mgombea Urais sio raia wa Tanzania.
(2) Mgombea Urais hajafikisha umri wa miaka 40.
(3) Mgombea Urais hajui kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza.
(4) Mgombea Urais sio mwanachama wa chama cha siasa.
(5) Mgombea Urais hajadhaminiwa na chama cha siasa kugombea.
(6) Mgombea Urais amekutwa na hatia ya kosa la jinai la kukwepa kodi katika kipindi cha miaka 5 kabla ya siku ya Uchaguzi.
(7) Mgombea Urais hajadhaminiwa na wapiga kura 200 kutoka mikoa 10 ya Tanzania ikiwemo mikoa 2 kutoka Zanzibar.
(8) Mgombea Urais hajadhaminiwa na idadi ya kutosha ya wapiga kura.
(9) Mgombea Urais hakulipa dhamana ya Tshs 1, 000, 000/=
(10) Mgombea Urais hakuwasilisha au hakuambatinisha picha kwenye Fomu ya Uteuzi.
(11) Mgombea Urais ameshindwa kuambatanisha Tangazo la Kisheria (statutory declaration) kwenye Fomu ya uteuzi ambalo limesainiwa na mgombea na limefanywa mbele ya Jaji kudhibitisha kuwa mgombea anayo nia na anazo sifa za kugombea Urais.
(12) Mgombea Urais ameshindwa kuweka wazi pesa ambazo atazitumia katika uchaguzi.
(13) Mgombea Urais hakusaini kukubali kutii Maadili ya Uchaguzi.
(14) Mgombea Urais hakujaza au hakurudisha Fomu ya Uteuzi kwa Tume ya Taifa Uchaguzi kwa mujibu wa matakwa ya sheria.
(15) Mgombea Urais amefanya makosa ambayo yamezuhiwa na Sheria ya Gharama za Uchaguzi, 2010.
(16) Kutokana na taarifa ambazo ziko kwenye Fomu yake ya Uteuzi, mgombea hana sifa za kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge au mjumbe wa baraza la wawakilishi la Zanzibar zilizoainishwa na Katiba husika.
(17) Taarifa ambazo mgombea Urais amewasilisha kwa Tume ya Taifa uchaguzi hazijitoshelezi kumtambua mgombea.
(18) Kutokana na taarifa ambazo ziko kwenye Fomu yake ya Uteuzi, hana sifa za kuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zilizoainishwa na Katiba.
Haya ndo mapingamizi 18 pekee ambayo anaweza kuwekewa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio vinginevyo.
No3 ni lazima imuondoe mwenye enzi zake...
Nakuheshimu sana Mkuu wangu, ila ukipotosha lazima niruke nawewe chap ili kuweka mambo sawa. Kidumu chama chetu Mkuu.Mkuu jaribu Basi kuheshimu haki yangu ya kutoa maoni Kama ninavyoheshimu yako.
Ukisharidhia mkataba wa kujiunga na mahakama ya afrika lazima ukubaliane na mahamuzi yanayotolewa na mahakama hiyo.
Hukumu ilitoka wakatibwa uongozi wa Kikwete mwaka 2014 wakati huo Tanzania alikuwa mwanachama wa mahakama hiyo.
Sababu ya kutotekelezwa hukumu hiyo serikalu ilisema kuna bunge la katiba na kipengele hicho walikiweka lakini bunge la katiba halikufanikiwa hivyo hukumu ile bado inatambulika.
Kutokana na mfumo wetu wa kura ubunge kuwapatia vyama ruzuku na mtindo wa vyama kutaka kuwacontrol wabunge wao hakuna chama kitakachotaka mgombea binafsi si chama tawala wala chama shindani.
Kinachotakiwa ni kwenda mahakama kuu na kukazia hukumu kwa utekelezaji
Wewe ni wa ufipa bana.Nakuheshimu sana Mkuu wangu, ila ukipotosha lazima niruke nawewe chap ili kuweka mambo sawa. Kidumu chama chetu Mkuu.
Nimesubiri jibu kutoka kwako.Ukisharidhia mkataba wa kujiunga na mahakama ya afrika lazima ukubaliane na mahamuzi yanayotolewa na mahakama hiyo.
Hukumu ilitoka wakatibwa uongozi wa Kikwete mwaka 2014 wakati huo Tanzania alikuwa mwanachama wa mahakama hiyo.
Sababu ya kutotekelezwa hukumu hiyo serikalu ilisema kuna bunge la katiba na kipengele hicho walikiweka lakini bunge la katiba halikufanikiwa hivyo hukumu ile bado inatambulika.
Kutokana na mfumo wetu wa kura ubunge kuwapatia vyama ruzuku na mtindo wa vyama kutaka kuwacontrol wabunge wao hakuna chama kitakachotaka mgombea binafsi si chama tawala wala chama shindani.
Kinachotakiwa ni kwenda mahakama kuu na kukazia hukumu kwa utekelezaji
Huyu huyu aliyeshindwa kupata nomination ya ccm huko Handeni au mwegine?CCM watakuloga, ngoja johnthebaptist aende kwa Sheikh Sharif majini!
Hapana Mkuu, nina elfu saba yangu hapa tayari kutoka kwa Mr. Slowslow. Napiga KVant tuu wikiendi hii huku nikipigania Mukulu wetu aendelee na mitano mingine tuendelee kuishi.Wewe ni wa ufipa bana.
Hana ubavu..corona tu alikimbilia kisiwani itakuwa EUMkuu
Election Commision ipo ndani ya mifuko ya mwenye enzi kuu duniani....
Itapigwa simu au text msg atakatwa mtu.....ni lazima...
Dictator yeyote duniani ni muoga kupita maelezo kuona kwenye sanduku la kura kuna jina la worthy challenger.....
Taasisi zote zipo held by the balls na mwenye enzi duniani na mbinguni....
Utaona vituko sana...just wait and seee!
Electoral Commision itakua weaponized to delete the threatening candidate to the dictator.....
Duuh Mwenyekiti KonyagiHapana Mkuu, nina elfu saba yangu hapa tayari kutoka kwa Mr. Slowslow. Napiga KVant tuu wikiendi hii huku nikipigania Mukulu wetu aendelee na mitano mingine tuendelee kuishi.
Mkuu weka akiba ya maneno umepitiliza mno,.marehemu Joseph Goebbels anakushangaa huko alipo.Yes, huyu jamaa (Jiwe) kweli ni dictator, no doubt about that...
Yes, huyu jamaa ni mwoga kusimama jukwaani na wanaojua kuliko yeye...
Worse enough, huyu dictator asingependa kuona anashindania Urais na Tundu Lissu mwaka huu. Kwake hili likitokea, it will be a nightmare to him....!!
Lakini it's now, TOO LATE TO HIM DO ANYTHING ABOUT THIS....Tundu Lissu kwa 150% atakuwa kwenye BALLOT PAPERS...!!
Kivipi! Kwa usiseme zote zinamuondoa!Hapo namba 15 inaondoka na lisu.
Ndo hicho sasa, tatizo nyie mapovu yanawatoka, nani kawaambia tume itamkata? Au kama kawaida yenu na ramli chonganishi? Kama ni msafi kweli huko kujishuku kunatoka wapi? Badala mpange namna bora ya kampeni, ili mpate ushindi mnapoteza mda na ramli uchwala. Ccm tushawaambia tunapiga kampeni kitanda kwa kitanda! Mtakuja shituka tushawachinja mapema tar, nyie wapinzani shitukeni basi, tumbafuuuu mtalaumu tume bure, kumbe mbinu zenu ndo hovyo!Mkate kwenye sanduku kwa haki..no problem ndio demokrasia hiyo..nini povu sasa?
Kama unatumia demokrasia kumkata kwenye sanduku,then it is right!
Mengine ni ya uungu mtu mnatuletea hapa....yaani Tume ipo chini yenu,hakuna nchi hapo!
Soma namba 16. Hana sifa ya kuwa Mbunge kwa muda wa miaka mitano baada ya kufukuzwa!MATAGA,Lissu anaingia wapi hapo kwa hoja ya kufanya kampeni kabla ya wakati?
Umefanya jambo la maana sana kuleta hii habari.
Hapa pia anajiuliza,mtu huyu ambae hajapitishwa na Tume, anaitwaje mgombea uraisi?
Sasa kuna maana gani ya kumuwekea pingamizi mtu asigombea na hapo hapo tayari anatambulika/anatajwa kama mgombea?
Je,tumekosa msamiati wa kiswahili katika hili au mimi ndio sielewi?