Uchaguzi 2020 Mapingamizi halali kisheria dhidi ya mgombea nafasi ya Urais

Ukisharidhia mkataba wa kujiunga na mahakama ya afrika lazima ukubaliane na mahamuzi yanayotolewa na mahakama hiyo.
Hukumu ilitoka wakatibwa uongozi wa Kikwete mwaka 2014 wakati huo Tanzania alikuwa mwanachama wa mahakama hiyo.
Sababu ya kutotekelezwa hukumu hiyo serikalu ilisema kuna bunge la katiba na kipengele hicho walikiweka lakini bunge la katiba halikufanikiwa hivyo hukumu ile bado inatambulika.
Kutokana na mfumo wetu wa kura ubunge kuwapatia vyama ruzuku na mtindo wa vyama kutaka kuwacontrol wabunge wao hakuna chama kitakachotaka mgombea binafsi si chama tawala wala chama shindani.
Kinachotakiwa ni kwenda mahakama kuu na kukazia hukumu kwa utekelezaji
 

Tunasubiri majaribio ya mashetani kuhamisha magoli katikati ya mechi.
 
No3 ni lazima imuondoe mwenye enzi zake...
 
Mkuu jaribu Basi kuheshimu haki yangu ya kutoa maoni Kama ninavyoheshimu yako.
Nakuheshimu sana Mkuu wangu, ila ukipotosha lazima niruke nawewe chap ili kuweka mambo sawa. Kidumu chama chetu Mkuu.
 
Nao

Naona bado haujajibu maswali langu, mimi ninaomba kuelimishwa kuhusu mambo matatu (3) yafuatayo;

(1) Bindingness nature ya hukumu ya Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika iko je? Je hii hukuma ya Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika ni legally binding Tanzania chini ya Kifungu gani cha Sheria?

(2) Mahakama za Tanzania zinatoa mamlaka ya kufanya execution ya decree ya hukumu ya Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika katika kifungu gani cha sheria?

(3) Je serikali ya Tanzania ikikataa kuheshimu hukumu ya Mahakama ya Haki za binadamu inaweza kuchukuliwa hatua gani za kisheria au akepewa adhabu gani?
 
Nimesubiri jibu kutoka kwako.
 
Wewe ni wa ufipa bana.
Hapana Mkuu, nina elfu saba yangu hapa tayari kutoka kwa Mr. Slowslow. Napiga KVant tuu wikiendi hii huku nikipigania Mukulu wetu aendelee na mitano mingine tuendelee kuishi.
 
Hana ubavu..corona tu alikimbilia kisiwani itakuwa EU
 
Hapana Mkuu, nina elfu saba yangu hapa tayari kutoka kwa Mr. Slowslow. Napiga KVant tuu wikiendi hii huku nikipigania Mukulu wetu aendelee na mitano mingine tuendelee kuishi.
Duuh Mwenyekiti Konyagi

Wewe KVant.

Ama kwa hakika ndege wanaofanana huruka kwa pamoja.
 
Updates 23 Agosti 2020
Dar es Salaam, Tanzania

TUNDU LISSU "NITAENDA KISUTU, NIKIKAMILISHA TENDO LA KATIBA KWA UKAMILIFU"
 
Presha inazidi kupanda mtaa wa Lumumba, kwa wanaLumumba mnaombwa mje Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu ya Kisutu siku ya jumatano tarehe 26 Agosti 2020 jijini Dar es Salaam kusikiliza kile mlichokuwa mnaombea kwani kesi za jinai zinafanyika hadharani.

Na hii kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu ni ya jinai ya kutuhumiwa kufanya uchochezi.
 
Mkuu weka akiba ya maneno umepitiliza mno,.marehemu Joseph Goebbels anakushangaa huko alipo.
Magufuli sio kama kaokotwa barabarani,kumbuka Mr Pushup amekuwepo kabla alimenyana na Bwana Lowassa katika mchezo wa SUMO
Kama una akili za Socrates weka mikakati ya kumuwezesha Lissu the Puma amshinde Magu the Terminator.Achana na cheap politics .
 
Mkate kwenye sanduku kwa haki..no problem ndio demokrasia hiyo..nini povu sasa?

Kama unatumia demokrasia kumkata kwenye sanduku,then it is right!

Mengine ni ya uungu mtu mnatuletea hapa....yaani Tume ipo chini yenu,hakuna nchi hapo!
Ndo hicho sasa, tatizo nyie mapovu yanawatoka, nani kawaambia tume itamkata? Au kama kawaida yenu na ramli chonganishi? Kama ni msafi kweli huko kujishuku kunatoka wapi? Badala mpange namna bora ya kampeni, ili mpate ushindi mnapoteza mda na ramli uchwala. Ccm tushawaambia tunapiga kampeni kitanda kwa kitanda! Mtakuja shituka tushawachinja mapema tar, nyie wapinzani shitukeni basi, tumbafuuuu mtalaumu tume bure, kumbe mbinu zenu ndo hovyo!
 
Soma namba 16. Hana sifa ya kuwa Mbunge kwa muda wa miaka mitano baada ya kufukuzwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…