Kenya 2022 General Election
Wakili Mahat Somane: Hakuna mtu, hata Chebukati hawezi kupakia fomu 34A ambayo si ile iliyopakiwa kwenye kituo cha kupigia kura.
Wakili Mahat Somane: Fomu 34A zilizowasilishwa na Azimio ni ghushi.
Wakili Mahat Somane: Hakukuwa na madai kwamba fomu 34A kwenye tovuti ni tofauti na ile halisi ambayo waliithibitisha.
Wakili Mahat Somane: Ikiwa mfumo upo ambao unaweza kubadilisha JPEG ya hati iliyoandikwa kwa mkono hadi CSV, kwenye fomu ambayo ina sahihi na alama maalum na kuibadilisha kuwa PDF, tunataka kuinunua. Haiwezekani.
Wakili Mahat Somane: Ikiwa mfumo upo ambao unaweza kubadilisha JPEG ya hati iliyoandikwa kwa mkono hadi CSV, kwenye fomu ambayo ina sahihi na alama maalum na kuibadilisha kuwa PDF, tunataka kuinunua. Haiwezekani.
Achana na hayo - wakili wa IEBC, Mahat Somane kwa Azimio.
Our elections have no problem - Senior Counsel Abdikadir Mohamed.
Hakuna anayeweza kupakia fomu 34A, hata Chebukati - Mahat Somane.
Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi kina uhusiano gani na chaguzi zetu? - SC Abdikadir Mohamed.
Fred Ngatia: Itakuwa uzushi kwa Mahakama ya Juu kuchukua jukumu la wapiga kura na kumtangaza mshindi.
Fred Ngatia: Raila hataki kukubali kushindwa au kushiriki marudio ya uchaguzi yaliyofanywa na Chebukati, suluhu analotoa kwamba Cherera aendeshe IEBC lingeitumbukiza Kenya katika mgogoro.
Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hii kuwa na mapingamizi 8 - Fred Ngatia.
This case is based on pranks - Fred Ngatia.
Wakili Katwa Kigen: John Githongo alitumia stakabadhi ambazo zilitumwa na Makau Mutua mnamo 2017 kuthibitisha udukuzi.
Muthomi Thiankolu: Jina la John Mark Githongo linachanganya majina ya watakatifu wawili lakini ana uthubutu wa kutengeneza maneno ghushi.
Dkt. Muthomi Thiankolu: Je, tutaamini makamishna 4 tuliowaona kwa siku 6 mchana na usiku kwenye TV wakitangaza matokeo mengi, lakini mshindi alipodhihirika, waligeuka nyuma na kusema Bw Chebukati ni mtu mbaya?
Dkt. Muthomi Thiankolu: Wanasiasa wanapaswa kushikamana na siasa na kuwaachia wasanii hadithi za uwongo.
Hata kama ungekuwa mwema kama Father Christmas, kesi hii haina ubishi - Muthomi Thiankolu.
Kithure Kindiki: Raila na wafuasi wake walijaribu mapinduzi
.
Mlalamishi(Raila) alifurahishwa na mchakato huo hadi pale ulipoonyesha ushindi kwa upande mwingine - Katwa Kigen.