Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 General Election
CJ Martha Koome: Kuna utaratibu wa kina uliotolewa wa kuondolewa kwa agizo la afisi ya kikatiba, tukimwondoa Chebukati, tutakuwa tunafanya kwa mujibu wa sheria?
 
CJ Martha Koome: Tulikuwa tunaona makamishna wakitangaza matokeo mara kwa mara pamoja, ni wakati gani hasa yalikosa kufanya kazi?
 
Swali la CJ Koome kwa mawakili akidai kuwa sio Wakenya wote walipata nafasi ya kupiga kura:
 
Jaji Lenaola: Sheria za IEBC zinasema mwenyekiti wa tume anafaa kuwa mtu aliye na sifa za kuwa jaji wa mahakama ya juu zaidi, ikiwa tungemwondoa Chebukati, itakuwa sawa bila mwenyekiti mwenye sifa hizo?
 
Wakili wa IEBC: Tukimpa Raila ufikiaji anaodai seva, huenda isiwezekane kwa IEBC kutumia seva hiyo tena, ikiwa kutakuwa na agizo la marudio ya uchaguzi bila seva hiyo, basi uchaguzi huo unaweza usifanyike.
 
Uchaguzi haurudiwi. Rutto is undisputtable winner. Hata hivyo uchaguzi ukirudiwa hata mara 50 Odinga will never win labda apewe tu urais nje ya msingi wa kura. Lakini je hiyo inawezekana?
Meela ni nini sababu ya kupelekwa kesi hii mahakamani?
 
Hayo ni maswali ya majaji ambao wao ni kama wanaomba clarifications ya some issues tu!

Bado hawajaja upande wa pili ambao ndiyo watachimba deep deep deep..

Ngoma inogile hapa..
Hizo clarifications ndio sidhani Azimio lawyers wanazo, nikama walipatwa off-guard..., they are not quite convincing, alafu so far yale boxes walitaka zidhibitishwe by jana tisa zilikua sawa, hakuna dosari yoyote, wacha tungoje, kwa vile in court only one evidence inaweza badilisha kila kitu..,
 
Acha kupotosha!!??Hakuna wakili aliyejibu zaidi ya Philip Murgor ku clarify
CJ hakuwapa nafasi ya kujibu leo amewaambia wajibu maswali wakati wanafanya rejoinder......
On top of that hayo maswali yakijibiwa yanaclear doubt. Huoni kwamba wanalay ground for Raila win
Naomba kama una clip ya Phillip aki clarify jinsi handwriting picha ya miandiko tofauti ilivyokuwa modified.
 
Hayo ni maswali ya majaji ambao wao ni kama wanaomba clarifications ya some issues tu!

Bado hawajaja upande wa pili ambao ndiyo watachimba deep deep deep..
Ngoma inogile hapa..
Mkuu unajua majaji wanachofanya kupitia hayo maswali!, Wanauliza makusudi sana ili ikifika wakati wa kuingia ndani zaidi basi wanakuwa na maelezo yenu ya awali ili mkijichanganya wanamaliza kazi.

So let watch this slowly...
 
IEBC inafuta data katika seva zake - Philip Murgor.
FbjMonTXoAANvDt.jpeg
 
Back
Top Bottom