Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 General Election
Willis Otieno: Chebukati na Ruto walikuwa na mawazo sawa na wanadanganya.
 
Willis Otieno: Je, Jaji Mkuu anaweza kuwapa baadhi ya majaji kazi ya kupokea mawakili, wengine kupokea vyombo vya habari kisha kubaki na Majaji wawili kufanya uamuzi na kuwaambia Wakenya "Huu ni uamuzi wa mahakama kuu ya Kenya?". Ndivyo alivyofanya Chebukati.

 
Willis Otieno: Hatuwezi kuwa tunarudi kortini kila uchaguzi tukiwa na tatizo lilelile linalomhusisha mtu yule yule.
 
IEBC imekubali kumfungulia seva zote Raila kama ilivyoelekezwa na Mahakama ya Juu.

Fbf6BUUX0AQBi76.jpeg
 
Jaji William Ouko: Je, kuna umuhimu gani wa kura zilizokataliwa?

 
Jaji Lenaola: Cherera na makamishna wengine walikuwa wakisoma matokeo hadharani, ni wakati gani dhoruba ilianza au ilikuwa ni mawazo ya baadaye?
 
Jaji Njoki Ndung'u: Je, fomu 34A inawezaje kubadilishwa huku iliandikwa kwa mkono?
 
Jaji Njoki Ndung'u: Je, idadi ya wapiga kura Kakamega na Mombasa ilimuathiri Raila Odinga pekee au MCA pia anaweza kusema aliathiriwa na kughairishwa kwake?
 
Jaji Smokin Wanjala: Je, asilimia ya waliojitokeza kupiga kura ina umuhimu gani?
 
Justice Smokin Wanjala: Je, wavamizi wanaweza kubadilisha Fomu 34A inayowasilishwa kwa njia ya barabara hadi Bomas?
 
Jaji Smokin Wanjala: Kwa nini Cherera na wengine hawakuandamana walipopewa majukumu mengine na Chebukati kama walivyosema mawakili wao?
 
Jaji Ibrahim: Raila anaonaje uchaguzi mpya ukifanyika itakuwa nafuu kwake ilhali mojawapo ya afueni anazoomba ni kwamba Chebukati aondolewe?
 
Hii kitu haiwezi tokea tz.yaani ndo itokee 2025 bibi atalazimika kwenda visiwani kupumzika yeye kama yeye hana ubavu sema tu ile nguvu ya pembeni ndo shida.
 
DCJ Mwilu: Tunachosikia kuhusu IEBC kinaweza kuelezewa kama "Kama vindeo, kama drama"
 
DCJ Mwilu: Wakati picha inapigwa kwenye kituo cha kupigia kura, ni ya PDF?
 
Je, tuna ushahidi gani kwamba malalamiko ya Cherera hayakuwa mawazo ya baadaye?
FbgNRVnWAAApwWI.jpeg
 
DCJ Mwilu: Je, tunapaswaje kumtangaza Raila au Ruto kuwa washindi kwa kutumia matokeo yale yale ya uchaguzi ambao walalamishi wanasema ulivurugwa na IEBC?
 
Jaji Smokin Wanjala aonesha mashimo katika madai ya wizi wa kura.
FbgRDBnWQAAAYKD.jpeg
 
Back
Top Bottom