Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 General Election
Wakumbushe hao kuwa amani ya Kenya inamtegemea sana Raila kuliko mtu yeyote.
Jaluo ni kitu ingine kabisa wakiamuaga
Wakenya wamekataa vurugu za lile lizee baaada ya kushtuka ni tapeli

Alikuwa anasem Uhuru mwizi na watu wengi kuandamana na kuuliwa na kujeruhiwa kisha anakuja kushikana nae mkono na kumsifu. Conman
 
Wakenya wamekataa vurugu za lile lizee baaada ya kushtuka ni tapeli

Alikuwa anasem Uhuru mwizi na watu wengi kuandamana na kuuliwa na kujeruhiwa kisha anakuja kushikana nae mkono na kumsifu. Conman
Wapi wewe wakati huko anakotokea Odinga hakulalika? Walichoma matairi usiku kucha na BBC walikuwa wakirusha?

Odinga aliwatuliza kuwa wasifanye fujo ndipo utulivu ukarejea
 
Wapi wewe wakati huko anakotokea Odinga hakulalika? Walichoma matairi usiku kucha na BBC walikuwa wakirusha?

Odinga aliwatuliza kuwa wasifanye fujo ndipo utulivu ukarejea
Huko kwa Waluo labda, ila kwingine hakuna mtu anayejali,
 
Mara hii wamekataa ujinga... unaenda kupigania mwanasiasa kisha baada ya muda wanaenda kushikana mkono na kupeana ulaji bila mabadiliko yoyote huku wewe umekufa au kujeruhiwa..!

Odinga alitaka kuleta vurugu kwa kuwaambia makamishna 4 wa IEBC wakatae matokeo kabla ya kutangazwa huku nchi ikiwa kwenye tension ilikuwa na nia ya kuleta vurugu kama Chebukati angemtangaza Ruto, ila hakuna aliyefanya huo ujinga

Walikuwa wamemtisha Chebukati eti akimtangaza Ruto nchi itateketea..!

Juzi tena akaita watu wakakeshe nje ya mahakama kwa siku 7 akaona mwitikio hasi akahairisha
Acha urongo
 
Kuhesabiwa upya kwa karatasi za kura za urais kukifanyika katika Mahakama ya Juu ya Kenya.

FbexaBHWYAALXIL.jpeg
 
Mawakili Fred Ngatia na Kithure Kindiki wakati wa pingamizi la uchaguzi wa Urais.

Fbe08UMX0AAD9-v.jpeg
 
Ksh30 bilioni zilitumika katika uchaguzi lakini hivi ndivyo tulivyo - Zehrabanu Janmohamed.

Fbe2KNPWQAE5g8b.jpeg
 
Tunaomba Chebukati asipigwe marufuku kuendesha uchaguzi mwingine wowote - Zehrabanu Janmohamed.
Fbe48XAXEAIM1tb.jpeg
 
Mawakili wa Kenya Kwanza Kithure Kindiki na Kioko Kilukumi katika Mahakama ya Juu ya Kenya.
FbfKyaqWQAAWUlr.jpeg
 
Hakuna nafasi kama msimamizi wa uchaguzi wa Rais - Paul Nyamondi.
FbfK82wWYAEGdMs.jpeg
 
Ufikiaji wa seva 8 za IEBC haujatolewa - James Orengo.
FbfMxQnXkAASyy7.jpeg
 
Raila Odinga akiongea na simu huku akifuatilia pingamizi la Urais katika Mahakama ya Juu ya Kenya.
FbfRvSDWQAA3L1_.jpeg
 
Wakili Otieno Willis anayemuwakilisha Mlalamikaji wa Nne akitokwa na jasho jingi akiwasilisha kesi yake katika mahakama ya Juu.
 
Uchaguzi wa urais uliendeshwa na mtu asiyekuwa huru - Willis Otieno.

FbfSx41WIAEPo5S.jpeg
 
Wakili Otieno Willis: Piki piki ponki...

Jaji Smokin Wanjala: Kuwa mwangalifu, lugha hiyo ni ngeni kwa mahakama hii.
 
Watu walikuwa na maoni yao lakini IEBC ilikuwa na njia yao - Otieno Willis.

FbfUYKfX0AgIh2O.jpeg
 
Hatuwezi kuzingatia nambari - Otieno Willis.
FbfWOYeX0AAR1Ey.jpeg
 
Ripoti ya ukaguzi inaonyesha kuwa kuna vitambulisho feki 638,814 vilivyosajiliwa - Willis Otieno.
FbfXSb6XoAA0JUJ.jpeg
 
Githu Muigai alipokuwa anapinga wasilisho la Tom Ojienda:
 
Back
Top Bottom