Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 General Election
Ila Submission by Atieno Willis is superb, Raila should pay him additional fee. Mpaka ameimba, na Jasho lilikuwa linamtoka Mpaka amelowa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Anaongea kwa hasira hatari. Ila IEBC must respond, kuna hoja za msingi.
.
Otieno He was however bias, anataka kazi ifanyike na IEBC lakini mahakama iwashughulikie Chebukati, Molu na Guliye pekee.
.
Anasema for manipulating election. But I think he was bias. Huwezi mhukumu mwenyekiti pekee kwa finding za KPMG

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ume exaggerate bro kule kuimba kwake alikuwa anawaboa majaji mpaka wamempa brotherly advice. Wabongo kama kawaida yetu huwa tunaangalia trivial issues pathetic. Somehow kuna point zimekuwa driven home.
 
Ila Submission by Atieno Willis is superb, Raila should pay him additional fee. Mpaka ameimba, na Jasho lilikuwa linamtoka Mpaka amelowa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Anaongea kwa hasira hatari. Ila IEBC must respond, kuna hoja za msingi.
.
Otieno He was however bias, anataka kazi ifanyike na IEBC lakini mahakama iwashughulikie Chebukati, Molu na Guliye pekee.
.
Anasema for manipulating election. But I think he was bias. Huwezi mhukumu mwenyekiti pekee kwa finding za KPMG

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mwangalie huyu jamaa wa mwisho anayeendelea
 
Back
Top Bottom