Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila shakaKenya wako mbali sana ndio maana hata mwananchi wa kawaida kwa sasa ana akili sana,
Comrade hukupaswa kufuatilia kupitia televisheni ulipaswa kuwepo pale kama wakili "msomi" mpya ili kuongeza kitu kutokana na ulichosomea uzeeni!.Mkuu nipo nafuatilia live on the Citizen TV, the pre trial meeting, kesi ni kesho.
Ushahidi wanao na mawakili wazuri wanaoMawakili sio big deal, swali muhimu ni hili; je wako na ushahidi wa kutosha na wenye ushawishi kwa majaji?.., hii kesi ni moto!
ningeshangaa kama usingeweka neno kwenye huu uzi aiseeMkuu Kitimoto, asante kuni tag, nipo nafuatilia live on the Citizen TV, the pre trial meeting, kesi ni kesho.
P
Nadhani tuko Karne kati ya 4, au mwanzoni mwanzoni mwa karne ya 5.Kenya ipo karne ya 21 sisi tupo karne ya 9.
If you want to convince them, confuse them.I voted for Raila, ila at times naona ako deluded kwa matamshi yake.., mara anasema hakuna aliye fikisha 50% +1 kati yake na Ruto, uchaguzi urudiwe, mara yeye kashinda mahakama iamurishe IEBC imtangaze mshindi.., so which is which?..,
Rusia has proxed Venezuela into African Politics.Tuna kesi kali sana, sio tu kwa Kenya lakini kwa ulimwengu wote. - Raila Odinga
View attachment 2339915
Hakuna kesi hapo. Odinga hana ushahidi wowote, hoja 9 alizowakilisha ni kutaka tume ithibitishe kuwa njia walizotumia kufikia matokeo hazitoi mwanya wa kufanyika udanganyifu.Kesi ni nzito. Lets wait and see
Yani unasema kesi haina foundationa na wakati huo huo kuna jopo la majaji saba wanaketi kusikiliza 'kesi isiyokuwa na foundation'.Inaelekea Mkuu una ufahamu mkubwa sana wa hii kesi kuliko Koome na jopo zima la majaji wa SCOK.Tupunguzeni ujuaji tuwaachie magwiji wa sheria pale Mahakama ya Upeo wafanye maamuzi sahihi ya kile kilichopelekwa hapo.Hakuna kesi hapo. Odinga hana ushahidi wowote, hoja 9 alizowakilisha ni kutaka tume ithibitishe kuwa njia walizotumia kufikia matokeo hazitoi mwanya wa kufanyika udanganyifu.
Hawana ushahidi wa wizi wa kura. Ni kama tu wanataka kura zihesabiwe upya.
Majaji wanatakiwa kutupilia mbali hii kesi, Haina foundation!
Hapana dada yangu mpendwa, Kila mtu ana haki ya kusikilizwa.Yani unasema kesi haina foundationa na wakati huo huo kuna jopo la majaji saba wanaketi kusikiliza 'kesi isiyokuwa na foundation'.Inaelekea Mkuu una ufahamu mkubwa sana wa hii kesi kuliko Koome na jopo zima la majaji wa SCOK